mimi ni mgeni katika jf hivyo naomba ushirikiano wenu katika kuchangia hoja mbalimbali.

mimi ni mgeni katika jf hivyo naomba ushirikiano wenu katika kuchangia hoja mbalimbali.

Karibu ila umeingia mtaa ambao sio...

Nenda kule jukwaa la utambulisho.
 
Kweli tedo,mtoa mada/ mgeni anapaswa kuanzia 'Member Intro Forum' anyway Karibu sana JF Mgeni mbwilo shadrack.
 
Last edited by a moderator:
umeingia kidigital mkuu mbwilo we mkali weweee........!!!! wenzio tuliingia kianologia tulipitia jukwaa la utambulisho,but karibu sana mm humu ndo mhasibu mkuu michango yote ya jf unitumie mm
 
..karibu sana. mimi naitwa Kamanda Kazi, expertise wa vita ya msumbiji. RENAMO waliipata fresh!:glasses-nerdy:
 
thank you for your huge and acceptance humbleness!!!! i taught to say thank you!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom