Mimi ni mgeni naomba mnikaribishe

mqaxy

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2018
Posts
342
Reaction score
559
Habari wakuu,Mimi ni Mgeni JF nimtandao wa kijamii unaosifika sana nikaribishe tuweze kujuzana na kuburudika zaidi


#mqaxy
 
Ahsante wakuu,naona kuna majukwaa mengi mno,,lipi ni bora zaidi
 
Ahsante wakuu,naona kuna majukwaa mengi mno,,lipi ni bora zaidi
Kuna Uzi wa Rickboy upitie kwanza baada ya hapo utapata jibu la jukwaa lipi litakufaa.
 
Ndio mkuu nimejifukizia pia mvuke wa 100°C
Ha ha ha karibu sana ndugu, humu kuna burudani sana, ideas nyingi sana positive kwa negative, Na pia kuna kero sana hasa kwenye masuala ya siasa mana wengi humu washapigwa upofu na siasa na wanasiasa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Karibu sana JF mjukuu wetu hapa kwa GT ufaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…