Hii kauli sio mara yangu ya kwanza kukutana nayo. Hata na mimi nilikaribishiwa hii kauli😅Karibu sana JF mjukuu wetu hapa kwa GT ufaidi.
Ndiyo raha yake kukaribushwa.Hii kauli sio mara yangu ya kwanza kukutana nayo. Hata na mimi nilikaribishiwa hii kauli😅
Asante sn
Shkran snKaribu mjukuu wangu.
Asante snKaribu sana
Una Shanga?Habari zenu,
Jamani mi ni mgeni naomba mnipokee nikihitaji ushauri msichokee kunishauri.