Mimi ni mgeni, naomba ushirikiano wenu

dr namugari

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2022
Posts
10,466
Reaction score
18,206
Habari za humu ndani, mimi ni mgeni hivyo naomba ushirikiano wenu.

Nimekuwa nikifatilia JF kipindi kirefu bila kujiunga, ila leo nimeamua kwa akili zangu mwenyewe kujiunga ili;

1. Nikosoe pale panapobidi.
2. Nisifie pale panapobidi.
3. Niunge mkono hoja mbalimbali.
4. Kukubaliana kutokukubaliana.
5. Kuheshimu wanachama wote.

Mimi ni mpenzi wa siasa aafi na ni mwanaharakati halisi na pia ni mume wa mke mmoja. [emoji41]
Kwa majina yangu naitwa
Dr Namugari P.M.

Naomba mnipokee.
 
Karibu JF
 
Karibu Sana JF

Maarifa Yapo Tele Ila Badili Avatar Yako
Huyo Mwalimu Wakati Wa Jiwe Aliambiwa Siongezi Salary Hutaki Acha Kazi Akanuna
 
Karibu sana mkuu, kwa kuwa umeomba kukosolewa basi kazana kujifunza ujue kuandika…. hiyo ‘Dr’ kwa mwandiko huo HAPANA.
 
Karibu Sana JF

Maarifa Yapo Tele Ila Badili Avatar Yako
Huyo Mwalimu Wakati Wa Jiwe Aliambiwa Siongezi Salary Hutaki Acha Kazi Akanuna
Ndio mm mkuu sasa nitabadilika vip
 
Karibu sana mkuu, kwa kuwa umeomba kukosolewa basi kazana kujifunza ujue kuandika…. hiyo ‘Dr’ kwa mwandiko huo HAPANA.
Nitajifunza mkuuu mm Ni Dr wa michongo tu nothing more
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…