mbebamaono
Member
- Oct 16, 2019
- 57
- 89
Hodi wanajamii nimekua msomaji kwa mda mrefu na kujifunza mengi.
Naomba tuzidi kuelimishana
Naomba tuzidi kuelimishana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tanganyika.watokea wapi?
Nia yangu kubwa kujifunza na kushea machache niliyonayo.Tukupokee umekuja na nini humu
Baharia ni mtu mwenye sifa zipi?Hayo maono humu utayatua tu,ngoja ukutane na mabaharia waandamizi
Imani yangu jibu unalo.Jina lako linakusadifu au?
Nokia tochi imeshidwa kupiga.Picha
Location
Karibu sana JamiiForums...