Mimi ni mgeni wadau

Mimi ni mgeni wadau

minji

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2016
Posts
2,751
Reaction score
4,946
Nimependa kujitambulisha kwenu wadau wa jamii forum mm ni mgen nimejiunga nanyi humu ili tuweze kujadiriana,kujifunza,kuhabalishana habari mm naitwa minji
 
Kuna jukwaa la kujitambulisha nenda uko kwanza usikimbilie kwa wakubwa, utakaribisha vibaya.
 
Karbu sana mgeni ila jitahid kutumia R/L vizur

KUJADIRIANA =KUJADILIANA

KUHABALISHANA=KUHABARISHANA
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ivunja mbona hivyo nikalibishee tuu
 
Back
Top Bottom