Mimi ni mgeni

Mimi ni mgeni

karibu mgeni..ila ya huku yaache hukuhuku....Karibu sana
 
Hello wana Jf naomba kujitambulisha plz .......

Karibu sana,ila kinachotakiwa mawazo yanayojenga,sio kubomoa,mambo ya udaku facebook ipo,sio hapa,tupo pamoja????nimetoa wosia huu nikiakisi jina lako huenda ikawa shughuli isiyo na tija hapa jamvini,hahahaaaaaa!!!!:A S 465:
 
Back
Top Bottom