Mimi ni Millenials ninayemkubali Diamond Platnumz, But kwenye Live Alikiba ni Balaa!

TUKANA UONE

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2018
Posts
2,864
Reaction score
8,706
Ndugu zangu wana jamiii Forums,Natumai mko salama!

Binafsi nimekulia kwenye kizazi za kina Dully Sykes lakini ukweli ni kwamba,Namkubali sana msanii wa kizazi kipya aitwaye Diamond Platnumz!,Nimekuwa mshabiki wa muziki wa kizazi kipya tangu enzi za wasanii wenye umri wangu!,Nilishawishika sana kumpenda na kumkubali msanii aitwaye Diamond Platnumz,na wimbo wa kwanza nilioupenda kutoka kwa Bwana mdogo ni NITAREJEA aliomshirikisha binti Hawa!

Binafsi nakuja mbele yenu kukiri ya kwamba,Namkubali sana mdogo wangu Diamond Platnumz lakini linapokuja suala la Uimbaji wa live (Mubashara),Basi Salehe Ally Kiba (Ali kiba) apewe dunia yake!,Jamaa ni balalaa sana kuliko awali nilivyotegemea!

Salute to UAlikiba!
 
Acha ujinga,Hakuna mambo ya vizazi vya millenial au Gen Z Tanzania.Huo ni mfumo wa Marekani na watu wake pamoja na baadhi ya nchi za ulaya

Mfano vizazi vya Marekani na ulaya vilivyoshiriki vita kuu ya pili ya dunia vilivyorudi toka vitani walirudi na pesa wakaanza kula bata na maisha ya kuzaa hovyo na watoto wao wakawaita kizazi cha Baby Boomers

Je Afrika Babu zako walioshiriki vita ya pili ya dunia walirudi na pesa? na kula bata au ndio hao wanadai fidia mpaka leo,Babu yako gani alikuwa na raha Africa wakati Africa ipo chini ya wakoloni ,Sasa watoto wa miaka 1946 wa Afrika na Marekani ni vitu viwili tofauti.Marekani watoto wake aliwaita Baby Boomer kutokana kwao ilikuwa kipindi cha watu wanakula bata na wametoka vita na pesa kibao za kutumia

Hakuna story za Millenials Africa wala sijui Gen z kwani wakati wao wanaita millenials huku Tanzania hata Internet haikuwepo na watu bado walikuwa bado wanaishi ulimwengu wa zama za giza ,
 
Preceiving a natural cessation of the prior topic, switching gears entirely. This is dwelling indefinitely altering the conversational trajectory.
 
Acha ujinga,Hakuna mambo ya vizazi vya millenial au Gen Z Tanzania.Huo ni mfumo wa Marekani na watu wake pamoja na baadhi ya nchi za ulaya

Mfano vizazi vya Marekani na ulaya vilivyoshiriki vita kuu ya pili ya dunia vilivyorudi toka vitani walirudi na pesa wakaanza kula bata na maisha ya kuzaa hovyo na watoto wao wakawaita kizazi cha Baby Boomers

Je Afrika Babu zako walioshiriki vita ya pili ya dunia walirudi na pesa? na kula bata au ndio hao wanadai fidia mpaka leo,Babu yako gani alikuwa na raha Africa wakati Africa ipo chini ya wakoloni ,Sasa watoto wa miaka 1946 wa Afrika na Marekani ni vitu viwili tofauti.Marekani watoto wake aliwaita Baby Boomer kutokana kwao ilikuwa kipindi cha watu wanakula bata na wametoka vita na pesa kibao za kutumia

Hakuna story za Millenials Africa wala sijui Gen z kwani wakati wao wanaita millenials huku Tanzania hata Internet haikuwepo na watu bado walikuwa bado wanaishi ulimwengu wa zama za giza ,
Kichwa chako kimejaa MAVI,Nenda kanye upate akili takataka wewe!
 
Umeenda mbali sana mkuu, aliye kufanya mbaya alaumiwe
 
Ndugu zangu wana jamiii Forums,Natumai mko salama!

Binafsi nimekulia kwenye kizazi za kina Dully Sykes lakini ukweli ni kwamba,Namkubali sana msanii wa kizazi kipya aitwaye Diamond Platnumz!,Nimekuwa mshabiki wa muziki wa kizazi kipya tangu enzi za wasanii wenye umri wangu!,Nilishawishika sana kumpenda na kumkubali msanii aitwaye Diamond Platnumz,na wimbo wa kwanza nilioupenda kutoka kwa Bwana mdogo ni NITAREJEA aliomshirikisha binti Hawa!

Binafsi nakuja mbele yenu kukiri ya kwamba,Namkubali sana mdogo wangu Diamond Platnumz lakini linapokuja suala la Uimbaji wa live (Mubashara),Basi Salehe Ally Kiba (Ali kiba) apewe dunia yake!,Jamaa ni balalaa sana kuliko awali nilivyotegemea!

Salute to UAlikiba!
Mimi pia tangu nianze kumsikiliza Ali , sijawahi tena kushawishika kumsikiliza msanii yoyote wa wcb.
 
Ukitumia akili vizuri jamaa ana point. Hiyo Millenial sijui Gen Z umeijua lini na reference yake ni nini ?
HIzi mambo za Gen z sijui millenial ni shobo zetu za kuvamia history za watu na tamaduni na kujifanya na sisi tunaweza ku fit in hata kama hatuendani nazo
 
Back
Top Bottom