Abuwhythum
JF-Expert Member
- Jan 7, 2015
- 837
- 495
Ni mdada au mkaka?Jana nmepiga simu sasa nkashangaa mtu asiejulikana akiniambia sina Salio lakutosha nkamuuliza umejuaje kama sina Salio maana nikwer sikuwa na Salio ghafla cm ikakatika basi mpakaleo nahisi natafutwa
MdadaNi mdada au mkaka?
Huyo hana shidaMdada
Ni kweli sikujui hata mimi nisingependa kujulikana!Ninaamini hata wewe msomaji wa thread hii hunijui[emoji12] [emoji13] [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji40]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sawaHuyo hana shida