Mimi ni miongoni mwa watu wasiojulikana

Mimi ni miongoni mwa watu wasiojulikana

Abuwhythum

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2015
Posts
837
Reaction score
495
Ninaamini hata wewe msomaji wa thread hii hunijui[emoji12] [emoji13] [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji40]
 
Kwani mimi unanijua??[emoji38][emoji38]
 
Jana nmepiga simu sasa nkashangaa mtu asiejulikana akiniambia sina Salio lakutosha nkamuuliza umejuaje kama sina Salio maana nikwer sikuwa na Salio ghafla cm ikakatika basi mpakaleo nahisi natafutwa
 
Ninaamini hata wewe msomaji wa thread hii hunijui[emoji12] [emoji13] [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji40]
Ni kweli sikujui hata mimi nisingependa kujulikana!
 
Back
Top Bottom