Mimi ni mjasiriamali mdogo

Mimi ni mjasiriamali mdogo

Goodel

New Member
Joined
Mar 24, 2014
Posts
4
Reaction score
0
Habari zenu wana JF, Mimi ni mjasiriamali mdogo nafanya biahsara ya stationery natoa huduma ya Typing na manual, scanning, binding, photocopy and pasport size. Vyote hivi navifanya kwa bei nafuu tu Pia natengeneza urembo wa asili kama shanga bangili na hereni. Biahsara ipo maeneo ya Mbezi kimara, kwa wale watakaopenda huduma yangu namba zangu ni 0789 328291 na 0715027507
 
Mtaji Wa hyo biashara ni kiasi gani? naomba unijuze maana na Mimi niawazo lakua na stetionary
 
Back
Top Bottom