Lee Van free
JF-Expert Member
- Aug 14, 2024
- 2,833
- 8,777
Tumsifu Yesu Kristu,
Mimi ni Mkristu wa madhehebu ya Kikatoliki,nasema hivi kwa namna yoyote Ile Sintainua mkono wangu Kumpiga muislam na wala sikubaliani na Mkristu yoyote Kumpiga muislam.
Hata nikiona Mkristu anampiga Muislam nitafanya Kila niwezalo kumzuia asimpige.
Toka nikiwa mtoto nimekua nikiishi kwa upendo na furaha na waislam.
Nyumbani kwetu tukitaka kuchinja mbuzi,bata,kuku,mbuzi au Ngo'mbe hua ama tunapeleka kwa Muislam ama tunamuita muislam nyumbani aje atuchinjie,akichinja hua tunampa kipande Cha nyama au kiasi Cha fedha wengine hupokea na wengine hukataa.
Ikiwa ni sikukuu kama krismass au pasaka hua tunawaalika majirani zetu waislam kuja kula, na wengine hua tunawapelekea kiasi Cha chakula Cha sikukuu.
Lakini pia siku za sikukuu za kiislam kama Idi,Maulidi na shugguki nyingine za waislamu hua wanatukaribisha kwao nasi Wakristu hua tunaenda kupiga mpunga.
Tumekua na kucheza Wakristu na waislam kwa pamoja mitaani hivyo sioni muislam wa Mimi kumuua waislam wote ni ndugu zangu kabisa.
Nina marafiki wa kiislam toka utoto wangu na Hadi Nina Mpenzi wa kiislam.
Nasema hivi Sina shida na Muislam Bali Nina shida na CCM.
Naomba tuungane kudai Katiba Mpya na Tume huru ya uchaguzi vikioatika hivi ndio mwisho wa shida zote hizi.
Wasalaam aleikhum,
Tumsifu Yesu Kristu