Lee Van free
JF-Expert Member
- Aug 14, 2024
- 2,833
- 8,777
Huyu aliyepo sasa hivi ni feki.Mada za kidini zife sisi tubakie tu kudai HAKI raisi akiwa Muislam is okay, akiwa mkristu safi kabisa, iwapo tu hakujipitisha kwa fomu moja achaguliwe na kamati, asiwe kiziwi, asipendelee matajiri kwa gharama ya raia masikini wasiojua mlo wao mmoja, tusitekwe tupelekwe mahakamani utawala wa sheria utawale.
Dah kwani ni lazima kunitusi?hizi mada tushazikataza…unazileta za nini mwehu wewe..