Mimi ni mlemavu, mwajiriwa natafuta mke wa kuoa

Mimi ni mlemavu, mwajiriwa natafuta mke wa kuoa

Mhasibu1

Member
Joined
Jul 1, 2015
Posts
9
Reaction score
3
Mimi ni mwanaume wa miaka 30 pia ni mlemavu Viungo(miguu) ninatafuta mke wakuoa, ninaishi mkoa wa pwani napia nimwajiriwa ktk taasisi fulani, nikimpata huyo mke nitampenda kwa dhati ewe mwanamke kama upo tayar ni pm pia weka namba ya simu,nitashukuru sana kumpata huyo Mwanamke,
 
Mimi ni mwanaume wa miaka 30 pia nimlemavu ninatafuta mke wakuoa, ninaishi mkoa wa pwani napia nimwajiriwa ktk taasisi fulani, nikimpata huyo mke nitampenda kwa dhati ewe mwanamke kama upo tayar ni pm pia weka namba ya simu,nitashukuru sana kumpata huyo wa mke,

Malizia basi mdogo wangu....Hiyo CV haijakamilika......!!

Ungemalizia kwa kutaja take home tu, basi ungekuwa umechokoza nyuki saa 8 mchana tena wakati wa kiangazi!!

Ila kusema ukweli, hii njia uliyotumia itakufanya urudi hapa JF na thread nyingine kama 10 hivi....

Umeshindwa kuchacharika huko mtaani hadi uje kuomba msaada wa vivuli vya computer??
 
hahahahaaaa dah
 
Kama namwona fulani hivi alivyotoa macho
Tatizo dogo hujataja take away yako ni bei gani
Wadada wajasilia ndoa humu wapo kibao tu
Hebu edit kidogo hiyo post yako then uone kama hujaomba poo mwenyewe
 
Mimi ni mwanaume wa miaka 30 pia ni mlemavu Viungo(miguu) ninatafuta mke wakuoa, ninaishi mkoa wa pwani napia nimwajiriwa ktk taasisi fulani, nikimpata huyo mke nitampenda kwa dhati ewe mwanamke kama upo tayar ni pm pia weka namba ya simu,nitashukuru sana kumpata huyo Mwanamke,

Tunakuombea ulemavu wako wa viungo mbele ya mapenzi....inshallah atatokea aliye wako wa kukupa faraja
 
Kaka nakushauri wanawake wa humu ni wakola sana, achana nao hapo wanasubili useme unatake home kiasi gani na unamiliki nn ,ukiweka wazi hivyo vitu mbona utakoma na application zao , nakushauri taafuta wako atakupenda zaidi wa humu wengi wachumia tumbo ,
 
Back
Top Bottom