Mimi ni Mnyamwezi , Na Wewe Je??

Mimi ni Mnyamwezi , Na Wewe Je??

Boflo

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2010
Posts
4,383
Reaction score
4,412
Wana Jf, Ni jambo zuri sana endapo kila mwana Jf atajitambulisha kabila lake hapa jamvini.

Swali: Nini Faida ya kutaja kabila lako hapa?

Jibu : Faida zake ni nyingi sana, nitakutajieni chache...

1-Itatusaidia kujua hapa jamvini kabila gani linaongoza kuwa na wanachama wengi

2-Itatusaidi kujua kabila gani lina busara zaidi kutokana na post za mhusika

3-Itatusaidia kujua tabia na uhalisia wa makabila yaliyopo Jf

4-Itatusaidia kujua makabila ya wana Jf ambao ni wabeba box

5-Itatusaidia kujua makabila gani mazuri kuchumbia

6-Itatusaidia kujua makabila........................
 
Mie ni mdanganyika.
Nimefurahi kukufahamu shemeji boflo.
 
myemeni wa kizanzibar na kitanganyika!

Afu why kujua kabila la wabeba mabox?
Kwani ID za wabeba mabox zimeorodheshwa mahali?
 
myemeni wa kizanzibar na kitanganyika!

Afu why kujua kabila la wabeba mabox?
Kwani ID za wabeba mabox zimeorodheshwa mahali?

Wabeba box wana Jf ni easy kuwajua, utawakuta online usiku hawalali...

Kina Nyani Ngabu na Wenzake
 
Back
Top Bottom