The secretary
JF-Expert Member
- Jan 14, 2012
- 4,148
- 2,537
@Husninyo....kabila la wapi hilo?
la kwa mfalme huihui
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
@Husninyo....kabila la wapi hilo?
halafu we unapenda mambo ya koni. Nikila yako ujue naimaliza sikuachii hata kidogo.
Mimi ni mpare nilichanganyika na msukuma.
Wana Jf, Ni jambo zuri sana endapo kila mwana Jf atajitambulisha kabila lake hapa jamvini.
Swali: Nini Faida ya kutaja kabila lako hapa?
Jibu : Faida zake ni nyingi sana, nitakutajieni chache...
1-Itatusaidia kujua hapa jamvini kabila gani linaongoza kuwa na wanachama wengi
2-Itatusaidi kujua kabila gani lina busara zaidi kutokana na post za mhusika
3-Itatusaidia kujua tabia na uhalisia wa makabila yaliyopo Jf
4-Itatusaidia kujua makabila ya wana Jf ambao ni wabeba box
5-Itatusaidia kujua makabila gani mazuri kuchumbia
6-Itatusaidia kujua makabila........................
Mimi ni mkojani natokea kizim-jobWana Jf, Ni jambo zuri sana endapo kila mwana Jf atajitambulisha kabila lake hapa jamvini.
Swali: Nini Faida ya kutaja kabila lako hapa?
Jibu : Faida zake ni nyingi sana, nitakutajieni chache...
1-Itatusaidia kujua hapa jamvini kabila gani linaongoza kuwa na wanachama wengi
2-Itatusaidi kujua kabila gani lina busara zaidi kutokana na post za mhusika
3-Itatusaidia kujua tabia na uhalisia wa makabila yaliyopo Jf
4-Itatusaidia kujua makabila ya wana Jf ambao ni wabeba box
5-Itatusaidia kujua makabila gani mazuri kuchumbia
6-Itatusaidia kujua makabila........................
Moderator mnasubiri nini kufuta huu ujinga wa huyu jamaa?Wana Jf, Ni jambo zuri sana endapo kila mwana Jf atajitambulisha kabila lake hapa jamvini.