Mimi ni Mnyamwezi , Na Wewe Je??

Mimi ni Mnyamwezi , Na Wewe Je??

Wana Jf, Ni jambo zuri sana endapo kila mwana Jf atajitambulisha kabila lake hapa jamvini.

Swali: Nini Faida ya kutaja kabila lako hapa?

Jibu : Faida zake ni nyingi sana, nitakutajieni chache...

1-Itatusaidia kujua hapa jamvini kabila gani linaongoza kuwa na wanachama wengi

2-Itatusaidi kujua kabila gani lina busara zaidi kutokana na post za mhusika

3-Itatusaidia kujua tabia na uhalisia wa makabila yaliyopo Jf

4-Itatusaidia kujua makabila ya wana Jf ambao ni wabeba box

5-Itatusaidia kujua makabila gani mazuri kuchumbia

6-Itatusaidia kujua makabila........................

nimeona sehemu unatafutwa ulipopatikana ukaachia tusi au kabila lako linareflect
 
Wana Jf, Ni jambo zuri sana endapo kila mwana Jf atajitambulisha kabila lake hapa jamvini.

Swali: Nini Faida ya kutaja kabila lako hapa?

Jibu : Faida zake ni nyingi sana, nitakutajieni chache...

1-Itatusaidia kujua hapa jamvini kabila gani linaongoza kuwa na wanachama wengi

2-Itatusaidi kujua kabila gani lina busara zaidi kutokana na post za mhusika

3-Itatusaidia kujua tabia na uhalisia wa makabila yaliyopo Jf

4-Itatusaidia kujua makabila ya wana Jf ambao ni wabeba box

5-Itatusaidia kujua makabila gani mazuri kuchumbia

6-Itatusaidia kujua makabila........................
Mimi ni mkojani natokea kizim-job
 
Moderator mnasubiri nini kufuta huu ujinga wa huyu jamaa?
 
Back
Top Bottom