Pombe ina mdhara lakini chai haina madhara ikiwezekana acha kunywa pombe endelea kunywa chai.Habari wadau.!
Mimi ni mnywaji wa pombe aina zote kuanzia laini sana kama castle lite,redds mpaka zile kali sana kama grants,konyagi yaani sprits,vodka,whisky lakini nakunywa sana chai,
Siku ambayo sijanywa pombe naweza kunywa chai hata chupa nzima, Siku nikinywa pombe kama ni usiku basi asubuhi nikiamka ninakunywa sana chai,je hali hii inasababishwa na nini? na je kuna madhara yeyote kwa mnywaji wa Pombe kama mimi kunywa sana chai?.....
Nawasilisha..
Kapombe ni katamu, kukaacha ni muhali.
nani kamwaga pombe yangu, aah nauliza
Asprinnaunga hoja asilimia 100%,hasa Beer ya kwanza na ya pili yaani ni tamu jamani!halafu ukute sehemu unayokunywa pana visindikizio kama nyama choma,michemsho,mabomu,kitimoto n.k n.k.....
ankoooo...muzima we we..
Haaaahaaaahaaaaaaaaaaa! Nimecheka sana...
Habari wadau.!
Mimi ni mnywaji wa pombe aina zote kuanzia laini sana kama castle lite,redds mpaka zile kali sana kama grants,konyagi yaani sprits,vodka,whisky lakini nakunywa sana chai,
Siku ambayo sijanywa pombe naweza kunywa chai hata chupa nzima, Siku nikinywa pombe kama ni usiku basi asubuhi nikiamka ninakunywa sana chai,je hali hii inasababishwa na nini? na je kuna madhara yeyote kwa mnywaji wa Pombe kama mimi kunywa sana chai?.....
Nawasilisha..
tunakaa wapi ili tukishushe vzr...Niko biyee, na kesho ni ijumaa. Kilaji cha İjumaa kina baraka za Mungu.
Kweli mkuu haka kakinywaji kukaacha kirahisi ni ngumu sana na aliyekavumbua sijui aliwaza nini..? dear gambe sikuachi kamwe!Hiyo nk nk kwa ujumla wake tufanye ni wahudumu bomba waliotinga vimini wasiojua kukataa.
Abarikiwe aliyevumbua bia. Abarikiwe aliyetengeneza friji.
Kama bia ni dhambi, acha tu nikakumbane na moto.