Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera mkuu, tena nakushauri uache kunywa chai kabisaa na hizi pombe laini. We kunywa spirits tena bila kula na uachane kabisa na masuala ya kula kwani ukinywa spirits bila kula ndiyo unapata raha zaidi na nguvu za hajabu. Narudia tena, hongera.
Wewe nawe hata machizi wakikuchekesha unacheka.! kazi unayo.!
Kama kuna kitu kimoja nakichukia duniani, ni pombe, imeharibu maisha ya watu watatu niwapendao. Kiasi imeanza kuwa kama tatizo la kisaikolojia, nikiona mtu wangu wa karibu kanywa pombe, nahisi kutapika kabisa.
Naichukia na kuogopa pombe kuliko hata Ukimwi.
Ayaa sasa Fyatanga unafuata nini.
Obhebhe nkima!!!
Ni mgumu labda tujikite zaidi kwenye misosi kama nyama choma kabla ya kunywaKapombe ni katamu, kukaacha ni muhali.