Mimi ni mnywaji mzuri wa pombe laini na kali lakini napenda sana chai...je kuna madhara?

Hongera mkuu, tena nakushauri uache kunywa chai kabisaa na hizi pombe laini. We kunywa spirits tena bila kula na uachane kabisa na masuala ya kula kwani ukinywa spirits bila kula ndiyo unapata raha zaidi na nguvu za hajabu. Narudia tena, hongera.

hahahhhahahaaah nimechk sana
 

Ayaa sasa Fyatanga unafuata nini.
Obhebhe nkima!!!
 
majanga haya,. Mlevi na chai wapi na wapi!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…