Mimi ni Mtanganyika

Mimi ni Mtanganyika

clearmind

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2013
Posts
813
Reaction score
1,913
Jina langu ni Clearmind. Natambulika hivyo hapa JF, japo kwa muda sasa nahangaika kutimiza ndoto zangu mbali na nyumbani. Natamani kukiri kwamba najivunia kuwa Mtanganyika.

Katika siku hizi za kisasa, ambapo mipaka ya nchi na majimbo inatambulika na kutambulishwa kupitia bendera, wimbo wa taifa, na vielelezo vingine vya kitaifa, mimi bado najiangalia na kujivunia asili yangu ya Tanganyika. Hii ni sehemu ya historia yangu, ya familia yangu, na ya utamaduni wangu.

Kama Mtanganyika, nina haki ya kujivunia urithi wangu na kuwa na uhusiano wa kipekee na Tanganyika. Najivunia kuwa na asili ya Tanganyika na kufahamu historia yangu. Kila mara ninapofikiria kuhusu nchi yangu, ninakumbuka maadili, tamaduni, na mazingira ya kipekee ambayo ni kama yamemezwa na nchi ya kusadikika iitwayo Tanzania.

Natamani kuwa na wimbo wetu wa taifa pamoja na bendera yetu ambayo itakumbusha urithi wa Tanganyika. Tuwe na vielelezo vinavyoitambulisha Tanganyika yetu. Wimbo wa taifa na bendera zetu zitaleta furaha na hisia za kujivunia kwa wale wote ambao wanahisi uhusiano na Tanganyika.

Tuitangaze Tanganyika kwa moyo na kwa mapenzi. Tuangalie nyuma na kuthamini mchango wetu katika historia. Kuwa Mtanganyika ni sehemu muhimu ya maisha yangu, na natamani kuwa na nafasi ya kutangaza na kusherehekea urithi huo kwa njia za heshima na hisia mahali popote duniani. Nakupenda Tanganyika,,,

VIVA TANGANYIKA!
 
Amka usingizini utakuja kujinyea.
 
Bila shaka unaitwa mamasamia. Sijawahi jinyea mama pengine ikitokea ni matakwa ya Muumba ila mimi ni Mtanganyika. Kama wewe ni dume, basi una asili ya umama. Mchana mwema mamasamia
Yupo tayari ajiite au hata ajifananishe na yeyote alieko madarakani hata kama sio jinsia yake, atajiita jina lake na kujipa sifa zake bila kujali jinsia yake..
Hao ndio chawa wa mama.
 
Jina langu ni Clearmind. Natambulika hivyo hapa JF, japo kwa muda sasa nahangaika kutimiza ndoto zangu mbali na nyumbani. Natamani kukiri kwamba najivunia kuwa Mtanganyika.

Katika siku hizi za kisasa, ambapo mipaka ya nchi na majimbo inatambulika na kutambulishwa kupitia bendera, wimbo wa taifa, na vielelezo vingine vya kitaifa, mimi bado najiangalia na kujivunia asili yangu ya Tanganyika. Hii ni sehemu ya historia yangu, ya familia yangu, na ya utamaduni wangu.

Kama Mtanganyika, nina haki ya kujivunia urithi wangu na kuwa na uhusiano wa kipekee na Tanganyika. Najivunia kuwa na asili ya Tanganyika na kufahamu historia yangu. Kila mara ninapofikiria kuhusu nchi yangu, ninakumbuka maadili, tamaduni, na mazingira ya kipekee ambayo ni kama yamemezwa na nchi ya kusadikika iitwayo Tanzania.

Natamani kuwa na wimbo wetu wa taifa pamoja na bendera yetu ambayo itakumbusha urithi wa Tanganyika. Tuwe na vielelezo vinavyoitambulisha Tanganyika yetu. Wimbo wa taifa na bendera zetu zitaleta furaha na hisia za kujivunia kwa wale wote ambao wanahisi uhusiano na Tanganyika.

Tuitangaze Tanganyika kwa moyo na kwa mapenzi. Tuangalie nyuma na kuthamini mchango wetu katika historia. Kuwa Mtanganyika ni sehemu muhimu ya maisha yangu, na natamani kuwa na nafasi ya kutangaza na kusherehekea urithi huo kwa njia za heshima na hisia mahali popote duniani. Nakupenda Tanganyika,,,

VIVA TANGANYIKA!
Nenda mkoa wa Katavi kuna wilaya inaitwa Tanganyika, utakutana na wenzio huko.
 
Na mbaya zaidi hao wenye upande uliofanya mpaka nchi kuitwa Tanzania, popote walipo hujitambulisha kama Wazanzibari na sio Watanzania.

Ifikie wakati sasa makosa ya Nyerere yarakebishwe na kila mtu akae na kwake na arudi kwenye kutumia jina stahiki la nchi yake.

I am proudly Tanganyikan. Viva Tanganyika.
 
Nimezaliwa mwaka 1960 na Muungano umenikuta nina mika 4. Nimesoma kwenye nchi ya Tanzania hadi shahada ya uzamili ndani ya Tanzania.

Leo hii nitakuwa kichaaa kudai Tanganyika. Tanganyika ili cease 1964 na sijawahi kupungukiwa kitu kwa kutokuwapo kwa Tanganyika.

Wengi wa wanaochangia huu mjadala wanafurahishwa na uropokaji wa Lissu tu lakini ukiwauliza Tanganyika itakupa nini ambacho leo huna ndani ya Tanzania wanabaki hawana jibu.

Kwa mfano ardhi huko Tanzania bara tuna 945,000 Square kilometres na mapori kibao. Mtu hajashika hata ekari moja kwenye mapori ya Kisarawe, ila anatamani apate ardhi ZNZ yenye 2,045 Square kilometres, its absurd and weird
 
Wazanzibar ni wabaguzi sn
 
Mimi binafsi, sitiwi chumvi na mtu katika hili. Ni hisia zangu na naamini napaswa kuheshimiwa pia kama watu wa Zanzinbar wanavyojiita wazanzibari na wapo kwenye huo muungano. Shida yetu ni nini kuitwa Watanganyika?
 
Nimezaliwa mwaka 1960 na Muungano umenikuta nina mika 4. Nimesoma kwenye nchi ya Tanzania hadi shahada ya uzamili ndani ya Tanzania.

Leo hii nitakuwa kichaaa kudai Tanganyika. Tanganyika ili cease 1964 na sijawahi kupungukiwa kitu kwa kutokuwapo kwa Tanganyika.

Wengi wa wanaochangia huu mjadala wanafurahishwa na uropokaji wa Lissu tu lakini ukiwauliza Tanganyika itakupa nini ambacho leo huna ndani ya Tanzania wanabaki hawana jibu.

Kwa mfano ardhi huko Tanzania bara tuna 945,000 Square kilometres na mapori kibao. Mtu hajashika hata ekari moja kwenye mapori ya Kisarawe, ila anatamani apate ardhi ZNZ yenye 2,045 Square kilometres, its absurd and weird
Kama umezaliwa 1960 na mpaka leo huna akili basi kuna tatizo kubwa sn hata hiyo masters ako ni ya kijinga sn, jiheshimu, Ulaya mtu anavyozidi kuwa na umri mkubwa ndiyo anazidi kuwa na akili nzuri, kwetu mtu anavyozidi kuwa na umri mkubwa ndiyo anazidi kuwa mjinga sijui kwanini
 
Nimezaliwa mwaka 1960 na Muungano umenikuta nina mika 4. Nimesoma kwenye nchi ya Tanzania hadi shahada ya uzamili ndani ya Tanzania.

Leo hii nitakuwa kichaaa kudai Tanganyika. Tanganyika ili cease 1964 na sijawahi kupungukiwa kitu kwa kutokuwapo kwa Tanganyika.

Wengi wa wanaochangia huu mjadala wanafurahishwa na uropokaji wa Lissu tu lakini ukiwauliza Tanganyika itakupa nini ambacho leo huna ndani ya Tanzania wanabaki hawana jibu.

Kwa mfano ardhi huko Tanzania bara tuna 945,000 Square kilometres na mapori kibao. Mtu hajashika hata ekari moja kwenye mapori ya Kisarawe, ila anatamani apate ardhi ZNZ yenye 2,045 Square kilometres, its absurd and weird
Au sio.
 
Back
Top Bottom