Mimi ni mtu ambaye huwa naona mbali sana

Mwaka 2021 nilipost uzi fulani hapa kuwa kwa jinsi ninavyo ona Fiston Mayele wa Yanga na nyota yake kuna uwezekano mkubwa Fiston kuwa mchezaji maarufu na hatari zaidi Africa mzima.

Watu walibisha sana nikatukanwa, wengine wakasema mimi siyo Manara au Kikwete kwa hiyo sina akili, lakini kadiri siku zinavyozidi kusogea nilichokisema kinaenda na kutimia pole pole.

Kwasasa Fiston Mayele sio maarufu Tanzania tu, kwasasa ni Africa. Hakuna page yeyote Africa ambayo hawapost habari za Fiston Mayele. Nenda kwa Waarabu ni Fiston na ukibisha nakupeleka kwenye page zao.

Kwa Wafaransa ni Fiston kwa wangereza ni Fiston! Mpaka kwasasa imefika hatua Fiston Mayele kulinganishwa na wachezaji wa Ulaya.
Kwa hiyo unaweza kuiona hadi kesho?Tuambie ipoje?
 
Huyo mchezaji anayeongelewa Dunia nzima,sasa hivi anacheza club gani kubwa Duniani? au yupo kwenye ligi gani kubwa Duniani?

Nauliza tu ili nijue.
Sasa hivi anaongoza kinyang'anyiro cha striker hatari zaidi Afrika. Wewe endelea kusubiri ligi kubwa duniani
 
Hamna Kitu, huyo ni Kama Walter Bwalya tu. Ni wachezaji hatari wa klabu ndogo zisizo na malengo makubwa.
 
Huyu ni mchezaji ambae anambwembwe nyingi ila kihuharisia ni debe tupu nipe list ya wanaongoza kwa ufangaji wa magoal hapa kwenye lig yetu? Kwa sasa chaajab hizi kelele zinakua nyingi afu mwisho wa msim anaishiwa kupewa Ng'ombe tu
Ukimponda Mayele hakikisha timu unayoshabikia haijafungwa na Mayele.
 
Hamna Kitu, huyo ni Kama Walter Bwalya tu. Ni wachezaji hatari wa klabu ndogo zisizo na malengo makubwa.
Vita club alikuwa tegemeo kwa hiyo vita club nayo ndogo
 
Caf champions league inaanza next week , na zalan ilikua bonanza la caf tu. Mfungaji bora na mchezaji maarufu Africa tutamuona
 
Kama mchezaji wako hana goli bora caf huyo ni wa ndondo cup [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ukimponda Mayele hakikisha timu unayoshabikia haijafungwa na Mayele.
Tunaongea uharisia mtu hawezi hata kua topscore kwenye ligi dhaifu kama hii ya Tz afu anavimbishwa kichwa,hata benjamen asukile ashawahi ifunga simba so hakuna cha ajab hapo
 
Sema watanzania tunajua kuwa brand wachezaji wa nje ,yaan mayele amekuja Hana fame kabisa Ila kapatia umarufu bongo .
Ndio maana wachezaji wengi Sasa ivi wanatamani waje wacheze bongo kitu ambacho ni kizuri kwa ligi yetu na kwa maendeleo ya mpira.
Chama amekuja Hana jina Ila saiz anaimbwa Sana.
Mayele
Bangala
Konde boy
Moloko
Shaban
Na wengine kibao .
Ukitaka kujua Hilo fuatilia kwenye page zao wanakuja Wana wafuas elfu tatu au nne Ila wanaondoka Wana wafuasi malak kwa malaki .
Kinachoniuma Zaid wachezaji wazawa hawaimbwi Sana ,labda sabab hawajitumi km hao wageni ,lakin ukifuatilia Kuna wazawa Wana uwezo sawa tu na Hawa wagen
 
Walau wachezaji wa Simba wanaoimbwa ni tegemezi kwa Timu zao za Taifa.... Ioande wa pili mambo ni diferenti
 
Hamna Kitu, huyo ni Kama Walter Bwalya tu. Ni wachezaji hatari wa klabu ndogo zisizo na malengo makubwa.
Mshahara anaopokea walter bwalya unaweza kulisha timu yote ya MAKOLO sc na rais kivuli kwa pamoja.
 
Sema watanzania tunajua kuwa brand wachezaji wa nje ,yaan mayele amekuja Hana fame kabisa Ila kapatia umarufu bongo .
Ndio maana wachezaji wengi Sasa ivi wanatamani waje wacheze bongo kitu ambacho ni kizuri kwa ligi yetu na kwa maendeleo ya mpira.
Chama amekuja Hana jina Ila saiz anaimbwa Sana.
Mayele
Bangala
Konde boy
Moloko
Shaban
Na wengine kibao .
Ukitaka kujua Hilo fuatilia kwenye page zao wanakuja Wana wafuas elfu tatu au nne Ila wanaondoka Wana wafuasi malak kwa malaki .
Kinachoniuma Zaid wachezaji wazawa hawaimbwi Sana ,labda sabab hawajitumi km hao wageni ,lakin ukifuatilia Kuna wazawa Wana uwezo sawa tu na Hawa wagen
We jamaa unajua sana bolu haunaga unafki wa kishamba.
 
Halafu huyo Mayele mbona kama kataradadi humu JF tena midomoni mwa Utopolo wenzao?.ukitaka kujua kama mchezaji anajulikana au ana matashtiti wee waulize watoto majina waliyonayo kichwani kwa Yanga ni Fei toto kwa Simba ni Kagere au japo ndo kashahama.
 
Back
Top Bottom