Mimi ni muheshimiwa, natafuta njia ya kupotea hata kwa miezi mitatu...

Ushimen

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2012
Posts
40,828
Reaction score
99,523
Wakuu....
Nimeamua kushuka hapa Tinde, nilikua safarini kuelekea huko kijijini kwetu kutoka Daslam nilipo vunja udugu wa dam, baada ya kuona sitendewi haki ugenini.
Na baada ya kuuza ng'ombe zangu 12, nikaona niwakomeshe kwa kuenda kulala stendi ili niondoke nyumbani kwao.
Sasa lengo na madhumini ya waraka huu ni kwamba....
Natafuta Ashura wangu anifanye kichaa kwa miezi mitatu...😜
 
Chizi wewe. Wahi Mirembe.
 
Dah....hiyo mbona kawaida Sana huku kwetu. Kuna mdudu anaitwa bunye mwanaume ukimkanyaga tu....unapotea hata mwaka....Ni kawaida tu....na kila mtu anajua 🀣🀣🀣🀣🀣
 
Haya Jamani nduguze ashura kitu hicho kimejileta kinataka potezwa..πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ jf bana
 
huyo hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…