1. Fanya mazoezi ya unachopresent, hakikisha unakijua kwa undani.
2. Anza powerpoint yako au presentation with something "catchy" .... mfano kama unazungumzia poaching basi toa data moja ya kusikitisha sana, kama barabara,afya, elimu etc toa data na image itayofanya watu washange na wakupe attention.
Hapo utakuwa in control tayari, hata mwenyewe utajisikia kuwa unapata attention na heshima Fulani.
3. Vaa nguo za heshima, safi na siyo loud! shati jeupe safi, suruali dark bila marinda, saa kuonyesha unajali muda, nywele low cut na boots nyeusi/brown.Siyo mavazi kama ya wakongoman na usivae mkufu au kubeba simu mkononi .... inaondoa heshima na utaonekana siyo mtaalam.
4. Kabla ya kwenda,usinywe kahawa na energy drinks ....ukijisikia aibu huwa unajionyesha sana ukiwa na caffeine nyingi mwilini na mate yatakauka which is disgusting to watch and hear. Kunywa sana maji usiku na upate light breakfast.
5. Back up your files .... flash, email, cloud ..... just in case na fika ukumbini kabla na wasalimie watu wakiingia if possible chat a little bit about football, panya road .....
6. Usitumie Zaidi ya dakika kumi na slide maximum 5 bullets, ili ushirikishe kadamnasi.
Do these, utaniambia...