Mimi ni muoga wa presentation yaani sina confedence

Mimi ni muoga wa presentation yaani sina confedence

Mechanics

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2013
Posts
295
Reaction score
26
nipeni tips za kuboost my confidense wakuu kesho nina presentation yang ya kwanza hapa chuo
 
​kula valeur chupa ndogo then ingia class ready for presentation
 
Presentation ya kwanza ni lazima uogope but with time you will get confidence you need.
Grasp what you intend to present.

Present to express and not to impress.

Usiogope.
 
Upo DIT ama?

kama ndio kwanza, nadhani kesho mnakwenda kuwasilisha "proposal" ya hiyo miradi yenu. weka title yako then nitakuja pm
 
nipeni tips za kuboost my confidense wakuu kesho nina presentation yang ya kwanza hapa chuo

Kusimama na kuongea mbele ya watu si kitu kidogo, kinahitaj vitu vichache muhimu vya kuzingaiana hsakama ni mara yako ya kwanza kuwaslisha unachotaka. wauchache, fanya haya;

Kabla ya kuwasilisha hakikisha umefanyia mazoezi unachoenda kuwasilisha, kisome na kifahamu kwa uhakika, kiweke kichwani

Utakapoanza kuwasilisha, jitahidi kuwasilisha kile ulichofanyia maandalizi

Ukiweza, chagua mtu moja darasani hasa aiyekaa katikati, mwangalie kwenye paji lake la uso, hapa kila mmoja atadhani unamwangali yeye.

Usiogope unaweza na ni mwanzo wa hata kubwa kwako
 
Hhhhh umenikumbusha mbali kuna Dada aliliaga mbele pale...Chamsingi ni maandalizi mazuri tuu ya uhakika ...
Wasikushauri unywe. Kama hujawai kunywa unaweza vua nguo pale...
Lakini pale mbele unaweza hisi unazomewa kumbe waaala wengine hawana hata habar na wewe
 
1. Fanya mazoezi ya unachopresent, hakikisha unakijua kwa undani.

2. Anza powerpoint yako au presentation with something "catchy" .... mfano kama unazungumzia poaching basi toa data moja ya kusikitisha sana, kama barabara,afya, elimu etc toa data na image itayofanya watu washange na wakupe attention.
Hapo utakuwa in control tayari, hata mwenyewe utajisikia kuwa unapata attention na heshima Fulani.

3. Vaa nguo za heshima, safi na siyo loud! shati jeupe safi, suruali dark bila marinda, saa kuonyesha unajali muda, nywele low cut na boots nyeusi/brown.Siyo mavazi kama ya wakongoman na usivae mkufu au kubeba simu mkononi .... inaondoa heshima na utaonekana siyo mtaalam.

4. Kabla ya kwenda,usinywe kahawa na energy drinks ....ukijisikia aibu huwa unajionyesha sana ukiwa na caffeine nyingi mwilini na mate yatakauka which is disgusting to watch and hear. Kunywa sana maji usiku na upate light breakfast.

5. Back up your files .... flash, email, cloud ..... just in case na fika ukumbini kabla na wasalimie watu wakiingia if possible chat a little bit about football, panya road .....

6. Usitumie Zaidi ya dakika kumi na slide maximum 5 bullets, ili ushirikishe kadamnasi.

Do these, utaniambia...
 
Kobello, Ahsante nimepata kitu hapa.
 
Nachokiamini confidence inakuja kwa kuwa na 'full knowledge' ya unachotarajia kupresent kakaako nikiwa udsm by then could present confidently mbele ya mass nkurumah,always nilihakikisha ktk group work ninaelewa zaidi subject matter kiasi cha hata kuwasaidia members wengine kuwajibia maswali,so dress urself with exceeding knowledge.Hayo tu.
 
Back
Top Bottom