Wanaoacha kazi serious hawatangazi kwa mihemko mitandaoni - Grow Up DudeNinakaribia 30. Nafundisha sekondari, somo la Basic Mathematics. Sina furaha na kazi yangu kwa sababu kipato hakiendani na kasi ninayoipenda. Nimegundua kuwa na degree hakuendani na kipato. Bado tunatishwa tishwa. Walimu nimegundua ni waoga. Hasa kufanya maamuzi magumu na sahihi. Mwalimu wa Tanzania anaishi kimaskini. Naacha kazi, naenda kujiajiri mwenyewe. Kwa heri utumwa, Kwaherini walimu. KWAHERINI. Usiniige kama hujajipanga. Nina sh milioni 2. naenda kuipanda. Hii sio ndogo kwangu. Sirudi tena kufunza.
Kiukweli kama unataka mafanikio achana na hiyo kazi ni yakimaskini hasa kwa tanzania kazi kubwa, mazingira ya hovyo,serikali inataka matokeo mazuri wakati wewe haikujali wala mazingira ya kufanyia kazi hayayajali na imekutelekeza porin madarasa mawili bila choo wala nyumba ya mwalimu na mpo walimu 3 wanafunzi 600.Ninakaribia 30. Nafundisha sekondari, somo la Basic Mathematics. Sina furaha na kazi yangu kwa sababu kipato hakiendani na kasi ninayoipenda. Nimegundua kuwa na degree hakuendani na kipato. Bado tunatishwa tishwa. Walimu nimegundua ni waoga. Hasa kufanya maamuzi magumu na sahihi. Mwalimu wa Tanzania anaishi kimaskini. Naacha kazi, naenda kujiajiri mwenyewe. Kwa heri utumwa, Kwaherini walimu. KWAHERINI. Usiniige kama hujajipanga. Nina sh milioni 2. naenda kuipanda. Hii sio ndogo kwangu. Sirudi tena kufunza.
Una busara sana mkuu!Wanaoacha kazi serious hawatangazi kwa mihemko mitandaoni - Grow Up Dude
Umeona?Sitaki kazi-- niki wa pili
Umeongea ukweli mpaka umenigusa Mimi binafsi sikuwahi kuupenda ualimu kama ajira tangu nazaliwa mpaka kesho ila family ndo imeniforce but mbeleni ntakuja kuchange tuKiuhalisia kazi ya kufundisha inataka moyo, ndio maana wanaita kazi ya wito!
Kama uliingia kwa nia ya kupata maslahi kamwe haitakufaa, waachie wale walioitwa......
Kila la heri.
Mshahara wa mwalimu laki 9? hapa hapa tza!Ujue walimu wengi awajielewi mwalimu degree unalipwa laki 9 harafu unalalamika njaa mnashindwa hata tuisheni