Mimi ni mwalimu, naacha kazi nijiajiri

Mimi ni mwalimu, naacha kazi nijiajiri

Hongera kwa kujitambua, nashukuru walimu wengi mnazidi kuniprove right, thanks alot niggaaaa go go go go, nilishafika huku kitambo kidogo, believe in yourself utafika tu!
 
Mwalimu nami nipo nyuma yako ndugu yangu kwani Mimi huuu ni mwaka wa tano katika kada hii nazidi kuyumba kimaisha
Duuh! Wewe umejitahidi sana, mimi ni mwaka mmoja na miezi 10 sasa lakini ipo natafuta pa kukimbilia. Kazi ya kipumbavu kabisa hii. Tanzania hatuna viongozi bali ni masanamu. Yaani mtu unashika uongozi mara moja unawaongezea wanajeshi posho wakati wana posho kubwa, wamejengewa nyumba, hawana faida ya moja kwa moja kwa jamii isipokuwa kwa viongozi tuu, na ukiangalia na elimu yao ndo wale wahuni kipindi tunasoma ndo machozi yanakutoka kabisa.
 
"My fake plants died because i didn't pretend to water them" -Bertrand Russell
 
Applyng for teaching is applyng for poverty...
Kkubw ni fursa
 
mkuu sikushaur uache kazi direct ila jaribu kufanya ishu ambayo unaweza kufanya bado uendelee na kazi ..kujiajiri iskie tu watu wakihubiri majukwaani ni ishu ngumu sana... speaking from experience
Kwa kuwa wewe ulishindwa unadhani kila mtu anashindwa??
 
Acha kazi uone jinsi ilivyongumu kupata kazi.Ukiondolewa kwenye Lawson kwa sasa hurudishwi.Wenzako wengi walikimbia wakidanganywa kua mtaani kulaini.Fanya miradi ukiwa ndani ya ualimu.Kama unabisha acha kazi kama hutaleta Uzi hapa.
 
Jamaa at ana 2Millions anataka kuacha kazi.Usijidanganye kijana kwa hilo.Badae mkulu ataongeza mishahara itakua minono.Uhakiki unaelekea ukingoni tuna matumaini one day tutafurahia wote.Jitahidi kupata ushauri vizuri usikurupuke mjomba.
 
Mi pia ni mwalimu ninalo wazo kama lako bro
Ualimu unachangamoto nyingi mnoo Mfano vitisho, Mazingira duni, Mshahara kiduchu wenye makato kibao maamuzi magumu muhimu japo utapingwa sana kwa kigezo et ukiingia kweny system ya serikal ni kufanikiwa
Uko sawa bro Good luck I'm one of your type I'm coming soon
 
Back
Top Bottom