Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani hizo 2m ushaanza kuzimendea!Tukutane 0753117270 ili tubadilishane mawazo mwalimu mwenzangu
Mla leo ndo user name ake [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Yaani hizo 2m ushaanza kuzimendea!
Kauli yako tu inaonyesha huwezi kuwa independent....utaishi kwa paycheck mpaka uzeeni!....btw sio lazima afuate nachoshauri na wewe ni wapi nmekwambia nilishindwa
Wewe nae bana!!....unafikiri mshahara wako utapandishiwa mpaka ukidhi matatizo yako yote?...hujui kwa nini unaitwa civil servant?Jamaa at ana 2Millions anataka kuacha kazi.Usijidanganye kijana kwa hilo.Badae mkulu ataongeza mishahara itakua minono.Uhakiki unaelekea ukingoni tuna matumaini one day tutafurahia wote.Jitahidi kupata ushauri vizuri usikurupuke mjomba.
Maisha hayana fomula mkuu,na sio kila unachokiwaza wewe ni sahihi so u better stay quite,give the boy best wishes and not bad wishes unless u got satanic spirit.Huyu akiacha kweli maisha yatampiga balaa maana hajielewi - labda kama atajiunga na bavicha humu kutukana na kulaumu serikali 24/7
Naheshimu uamuzi wako,wewe ni mtu mzima na una elimu yako nzuri tu,bila shaka umepima vya kutosha pande zote mbili yani maisha ndani ya ajira ya serikali na maisha nje ya ajira ya serikali na kuona wapi patakufaa zaidi..fanya uamuzi sahihi kwa wakati sahihi ukiwa umejipanga.Ninakaribia 30. Nafundisha sekondari, somo la Basic Mathematics. Sina furaha na kazi yangu kwa sababu kipato hakiendani na kasi ninayoipenda. Nimegundua kuwa na degree hakuendani na kipato. Bado tunatishwa tishwa. Walimu nimegundua ni waoga. Hasa kufanya maamuzi magumu na sahihi. Mwalimu wa Tanzania anaishi kimaskini. Naacha kazi, naenda kujiajiri mwenyewe. Kwa heri utumwa, Kwaherini walimu. KWAHERINI. Usiniige kama hujajipanga. Nina sh milioni 2. naenda kuipanda. Hii sio ndogo kwangu. Sirudi tena kufunza.
Mkuu MUNGU ni mwema sijafa nipo, nimefurahi sana kumbe watu waliusomanakumbuka kuna jamaa anaitwa Elli alileta uzi kama huu, itabidi uombe ushauri alifanyaje.
MUNGU akutangulie kwa kila hatuaNinakaribia 30. Nafundisha sekondari, somo la Basic Mathematics. Sina furaha na kazi yangu kwa sababu kipato hakiendani na kasi ninayoipenda. Nimegundua kuwa na degree hakuendani na kipato. Bado tunatishwa tishwa. Walimu nimegundua ni waoga. Hasa kufanya maamuzi magumu na sahihi. Mwalimu wa Tanzania anaishi kimaskini. Naacha kazi, naenda kujiajiri mwenyewe. Kwa heri utumwa, Kwaherini walimu. KWAHERINI. Usiniige kama hujajipanga. Nina sh milioni 2. naenda kuipanda. Hii sio ndogo kwangu. Sirudi tena kufunza.
Hahahaha 'askari muoga'Ujielewi wewe tena itakuwa mwalimu hewa
Akiwa na wazo kama hili la kuanza then akishindwa arudi hatofanikiwa lazima atashindwa na atarud ajirani,kiufupi kujiajiri sio lelemama ye aamue moja kwa moyo mkunjufu tuHaina haja utangaze.... wewe piga kimya kimya, ili ukizidiwa huko uendako urudi kutafuta ajira tena upokewe, kwani haya ni maisha tu... muhimu shilingi ipatikane.
mwalimu wa nchi gani?Ujue walimu wengi awajielewi mwalimu degree unalipwa laki 9 harafu unalalamika njaa mnashindwa hata tuisheni
si kwelindio mwalimu degree analamba 9 makato wanachukua 7
Huu ushauri wako utamfaa sana pia utamrahisishia mafanikio kwani mentor wake atamshika mkono na kumuonesha apite wapi na afanye nn hii inaondoa risk ya kufail na kukata tamaaUnataka kujiajiri for wrong reasons na kufikiri kujiajiri ni kuakimbia matatizo yako. Kijana you need a mentor ambaye ni mfanya biabishara akupe A to Z kisha ufanye ifnrmed decision. Biashara inahitaji uifanye kwa moyo ndo utafanikiwa na si kwa sababu ilizozitaja hapo juu. Ushauri wangu mtafute mtu aliyefanikiwa ndo akupe ushauri don't seek advice from losers
kuajiriwa n utumwaMaisha ni maajabu sana.Waalimu ambao hawajaajiriwa wanalilia ajira huku we unakimbia kazi.Duuuuuh kazi kweli kweli.Million ni Pesa ndogo sana ya kukufanya uache kazi.Piga mzigo jomba
kujiajiri si rahisi kama kuajiriwa but akikomaa n rahis sana inahitaji nia ya dhati tumkuu sikushaur uache kazi direct ila jaribu kufanya ishu ambayo unaweza kufanya bado uendelee na kazi ..kujiajiri iskie tu watu wakihubiri majukwaani ni ishu ngumu sana... speaking from experience
Wachosema ni kweli Mwalimu, ila tukumbuke, ualimu ni ajira ila watakiwa kuwa na WITO, kama huna basi yanakuja kama haya, kila la kheri, ni kama UNESI, UDAKTARI, USTAWI WA JAMII, KUHUBIRI DINI .n.k. WITO WITO WITONinakaribia 30. Nafundisha sekondari, somo la Basic Mathematics. Sina furaha na kazi yangu kwa sababu kipato hakiendani na kasi ninayoipenda. Nimegundua kuwa na degree hakuendani na kipato. Bado tunatishwa tishwa. Walimu nimegundua ni waoga. Hasa kufanya maamuzi magumu na sahihi. Mwalimu wa Tanzania anaishi kimaskini. Naacha kazi, naenda kujiajiri mwenyewe. Kwa heri utumwa, Kwaherini walimu. KWAHERINI. Usiniige kama hujajipanga. Nina sh milioni 2. naenda kuipanda. Hii sio ndogo kwangu. Sirudi tena kufunza.