Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duuh! Wewe umejitahidi sana, mimi ni mwaka mmoja na miezi 10 sasa lakini ipo natafuta pa kukimbilia. Kazi ya kipumbavu kabisa hii. Tanzania hatuna viongozi bali ni masanamu. Yaani mtu unashika uongozi mara moja unawaongezea wanajeshi posho wakati wana posho kubwa, wamejengewa nyumba, hawana faida ya moja kwa moja kwa jamii isipokuwa kwa viongozi tuu, na ukiangalia na elimu yao ndo wale wahuni kipindi tunasoma ndo machozi yanakutoka kabisa.Mwalimu nami nipo nyuma yako ndugu yangu kwani Mimi huuu ni mwaka wa tano katika kada hii nazidi kuyumba kimaisha
Acha kulopoka mkuu, laki 9 uitoe wapi?ndio mwalimu degree analamba 9 makato wanachukua 7
Kwa kuwa wewe ulishindwa unadhani kila mtu anashindwa??mkuu sikushaur uache kazi direct ila jaribu kufanya ishu ambayo unaweza kufanya bado uendelee na kazi ..kujiajiri iskie tu watu wakihubiri majukwaani ni ishu ngumu sana... speaking from experience
btw sio lazima afuate nachoshauri na wewe ni wapi nmekwambia nilishindwaKwa kuwa wewe ulishindwa unadhani kila mtu anashindwa??