Mimi ni mwalimu, naacha kazi nijiajiri

nakuunga mkono sema me nimekuwa mwogo kombole yako ntakufuata
 
Wanaoacha kazi serious hawatangazi kwa mihemko mitandaoni - Grow Up Dude
Hahahaa umeona, Jamaa fullu muoga tena uoga wa kiwango cha panya, ukitaka kuacha kazi wewe acha watu watakuja kushituka usha acha
 
Wewe huna mpango wa kuacha kazi na inaonyesha wewe ni muoga fullu. Ukitaka kuacha acha kimya kimya, ushauri wa nini tena unataka? ndo yale mtu anataka kujinyonga anaomba ushauri ajinyonge vipi? kwa kutumia kamba, sumu, ajipige risasi, ajirushe,

Kuacha kazi ni uamuzi wako na kamwe usishirikishe mtu na kuanza kishirikisha watu maana yake wewe ni muoga na huna mpango huo na hutakaa uwe nao
 
Point mkuu, jamaa hana mpango wa kuacha na kama ni kuacha lazima utafute watu wa kukushairi na watu hao ni wa namna gani?
 
Shamba lipo Moro maji ya uhakika ardhi yenye rutuba kuvuna 100% guaranteed.
Mkuu nipo impressed sana na kilimo hasa Moro. Plz naomba nisaidie japo mwanzoni tu niweze kutimiza ndoto zangu.
 
simple question to you:

haukujua kwamba ualimi ni miongoni mwa kazi za wito ulipo anza degree yako ya elimu?

Advice:- Usiache kazi bali diversify your hustling utafanikiwa"
 
Hongera kwa kuamua mapema! Wengine wamezeekea humo na jina kwe ye duka la Mangi ni la kudumu!
Hawana tena uwezo wa kurisk! Hongera kijana! Tafuta sehemu yenye kilimo, jiandae kukabiliana na vikwazo na ukata lakini mwisho wa siku utatoboza tu!
 
Ni wazo nzur tena sana, lakn nikushaur kitu 0674010013
 

Mkuu una mawazo mazuri sana. Kama unavyosema yabidi kujipanga na siyo kukurupuka.

Hivi na zile pesa zetu za mifuko ya jamii mfano NSSF, PPF, LAPF zinatoka au ndio hadi miaka 60?????

Ufafanuzi please maana hizi kwa mtu uliyechangia miaka 30 ni tosha kabisa kuanza maisha mapya.

MWENYE KUELEWA ENDAPO KAMA WANAACHIA AU BADO WANAZIBANA>
 
Hongera lakini ujue awamu hii hakuna maujanja ya biashara, ukifuata kanuni utatoboa.
 
Acha kazi uone jinsi ilivyongumu kupata kazi.Ukiondolewa kwenye Lawson kwa sasa hurudishwi.Wenzako wengi walikimbia wakidanganywa kua mtaani kulaini.Fanya miradi ukiwa ndani ya ualimu.Kama unabisha acha kazi kama hutaleta Uzi hapa.
Akiacha kwa utaratibu sio tabu
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Njoo uku tuuze dawa za kuongeza makalio na nguvu za kiume inalipa Sana hutojuta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…