MUDA-hii ndio asset kubwa naona binadamu tunakuwa nayo tu,sio pesa,ardhi wala utajiri.....kwanini walimu wengi tunakuwa masikini?....jibu ni rahis sana tunaibiwa MUDA.....Naondoka geto saa 12 asubuhi narud saa 11 jioni mshahara lakini nne.....haya tucalculate kwa siku unalipwa sh ngapi....ni kama 12-14 elfu....remember we have bills to pay unakula,unanunua mahitaji binafsi kama vocha,vitu vya urembo,unavaa,unakunywa,unalipa kodi,unapanda boda or bajaj or daladala,all that vinahitaji pesa...so,ukipokea mshahara you have to pay everyone and unabakiwa na kidogo sana au huna kabisa.......Kwanini nasema tunaibiwa muda...i speek from experience...Mimi nina biashara ya studio ya kurusha nyimbo nimemwajiri kijana mmoja,palle jamaa anapata hadi 15k per day na kila siku anakula hapohapo na tunagawana pesa inayopatikana daily lzm anipe kati ya elfu sita mpaka saba,what if ningeifanya hiyo bussiness mwenyewe niweke na vitu vinginr vya kuuuza?....nakosa muda.....okay second,nina pikipiki aina ya boxer siku za weekend nakaa vijiweni navizia abiria wale wa kuita boda ndio nawabeba yrna if only nimeweza kuwabahatisha lkn napata like kama 8k mpaka 12k kutoka kama saa tano mpaka saa 12 jioni.....siku za kazi nashindwa maana nakosa muda......One day nitaondoka and i think the day is very soon just because natafuta muda....siondoki huku nikiwa na mindset za kuajiriwa tena,inatosha hii miaka 6 ya mateso ya kufokewa,kudhulumiwa na kudharauliwa pia kufanyishwa kazi zinazozid na zisizolingana na mnachonilipa.....i would rather stay unemployed but be hapy.......i have my TIME and my MIND let me use those assets i have!