Mimi ni mwalimu wa ICT nina uwezo wa kufundisha maeneo yafuatayo

Mimi ni mwalimu wa ICT nina uwezo wa kufundisha maeneo yafuatayo

kizito2009

Senior Member
Joined
Jan 6, 2010
Posts
172
Reaction score
223
Mimi ni mwalimu wa ICT nina uwezo wa kufundisha maeneo yafuatayo;
  1. Basic Introduction to Computers
  2. Internet and Email
  3. Graphic Design
  4. Web design and development
  5. Social Media Management
Pia nafundisha:
  1. English
  2. Basic Accounting/Book Keeping
  3. E-commerce and Drop Shipping
  4. Marketing Management
Kama unahitaji huduma yangu tafadhali tuwasiliane,Nafundisha kwa bei nafuu sana
 
Mimi ni mwalimu wa ICT nina uwezo wa kufundisha maeneo yafuatayo;
  1. Basic Introduction to Computers
  2. Internet and Email
  3. Graphic Design
  4. Web design and development
  5. Social Media Management
Pia nafundisha:
  1. English
  2. Basic Accounting/Book Keeping
  3. E-commerce and Drop Shipping
  4. Marketing Management
Kama unahitaji huduma yangu tafadhali tuwasiliane,Nafundisha kwa bei nafuu sana
Mkuu upo wap?
 
Nikitaka kusoma graphics design na web design in deep utaweza toa mafunzo hayo?

Yani niive vizuri kabisa?

Alafu itachukua muda gani?
Inawezekana Kabisa Standard ni wiki 6-10 kutegemea na level yako ya utumiaji wa Computer 2-3 hrs per day.The rest ni mazoezi na utundu
 
Unaweza kufundisha kwa njia ya online? mimi niko mbali - Mwanza
 
Back
Top Bottom