Mimi ni mwalimu wa shule ya msingi. Naomba ushauri ninahitaji kusoma open university course ya information kuanza na certificate

Mimi ni mwalimu wa shule ya msingi. Naomba ushauri ninahitaji kusoma open university course ya information kuanza na certificate

Mussisi

New Member
Joined
Apr 3, 2023
Posts
4
Reaction score
0
Kozi ya ICT ndio nahitaji kuisoma kama kichwa kinavyojieleza...... naomba ushauri juu ya hilo katika maswali yafuatayo

1. Je inawezekana?

2. Naomba kujua ninaweza badilishiwa muundo wa elimu katika kada yangu ya elimu kwa kutumia cheti cha ICT baada ya kumaliza masomo?

Ni hayo tu naombeni ushauri
 
Angalia ufaulu wako unaruhusu ? Alafu tafuta hiyo kozi Open wanayo na gharama zake, swala la badilisha linawezekana pia jama kutakua na uhitaji
 
Kama ni wakiume badilisha na itakuwa msaada sana bagaomoyo wanatoa hiyo kitu hiyo
 
Usianze chet ,soma foundation course , then uje upige hio degree
 
Inawezekana baada ya kumaliza unaandika barua unaambatanisha na vyeti vyako mfano mwaka Jana RAIS ALITOA KIBALI KIKUBWA SANA KWA WANAOTAKA Kubadilishiwa muundo inshort inawezekana recotago nini sijui huko
 
Back
Top Bottom