Robot la Matope
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 8,174
- 16,794
Kale mashudu
Wadau salam, Mimi ni mwembamba saaaaaaana, kuna shughuli nataka kuifanya but mtu mnene anaitajika so nataka kupata dawa nijinenepeshe for special job. Kama unazijua dawa hizo plz naomba msaaada wako. Thanks in advance
ahaahaa, your wonderful indeed. Ugali kutwa mara tano?Kula dona na nyama ya kuchoma kutwa mara 5.
Hakikisha nyama unayokula ni nundu ya kuchoma na ugali usiwe chini ya gram 500 ya unga bila kusahau maji baridi ya kunywa. Just 3-4 weeks utakua bonge.
Hii kiboko duuuh.Easy mkuu pata mashudu kila Sikh kutwa Mara 3 pamoja na jiwe la chumvi chumvi kama Yale wanayoekewa ng'ombe wanalamba sasa hii dozi yake upate mawe matatu lambaaa yatakapoisha tuletee majibu hapa kwa faida ya wengine,nakutakia mafanikio mema.
Una kundi gani la damu?
Msaidieni mwenzenu km hamfahamu kaeni kimya!
Wadau salam,
Mimi ni mwembamba saaaana, kuna shughuli nataka kuifanya but mtu mnene anaitajika so nataka kupata dawa nijinenepeshe for special job.
Kama unazijua dawa hizo plz naomba msaaada wako.
Thanks in advance
ahaahaa, your wonderful indeed. Ugali kutwa mara tano?
Why not dude?!!!!