Huna haja ya kunywa dawa we ongeza kidogo portion ya chakula na uwe na muda wa kupumzika. Sio unafika nyumbani saa sita usiku, unaangalia muvi hadi saa nane halafu alfajiri uko barabarani tena! Lazima ukondeane.
Mimi hadi miaka michache iliyopita nilikuwa navaa suruali size 32 ila nilipobadilisha mambo machache tu afya ikaboreka hadi nafikiri namna ya kupunguza mwili maana naota kitambi kama mzee
K.mwanaume piga anza gym ila squat lzm upige sn mwilibutakuja vzr tu km mwanamke kula sana tende,ugali,wali,viazi yaan wanga kwa ujumla hlf uwe una lala lala...lkn mi sipendi mwanamke bonge so ujue kbs ntakuacha mapema sn ukinenepA
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.