Mimi ni mwembamba sana, nahitaji dawa za kunenepesha mwili

Mimi ni mwembamba sana, nahitaji dawa za kunenepesha mwili

Tumia tende Sana...ni nzuri mno kwa mtu anayetaka kunenepa
 
Pendelea Supu ya ng'ombe na chapati tatu pia shushia na Pepsi kaa nusu saa kunywa lita moja ya maji bariiidii.

mchana pata ugali Dona na Nyama choma nusu na maharage Kisha shushia na soda.

usiku piga chips zege na mishikaki mitatu halafu shushia na bia 2 Nenda kalale.

pata Hiyo dozi ndani ya miezi miwili lazima Japan wakuite ukajiunge na wacheza sumo.
 
Hiyo "kazi" wanayotaka unenepe kwanza aio nzuri kama vipi achana nayo!!
 
Huna haja ya kunywa dawa we ongeza kidogo portion ya chakula na uwe na muda wa kupumzika. Sio unafika nyumbani saa sita usiku, unaangalia muvi hadi saa nane halafu alfajiri uko barabarani tena! Lazima ukondeane.

Mimi hadi miaka michache iliyopita nilikuwa navaa suruali size 32 ila nilipobadilisha mambo machache tu afya ikaboreka hadi nafikiri namna ya kupunguza mwili maana naota kitambi kama mzee
 
K.mwanaume piga anza gym ila squat lzm upige sn mwilibutakuja vzr tu km mwanamke kula sana tende,ugali,wali,viazi yaan wanga kwa ujumla hlf uwe una lala lala...lkn mi sipendi mwanamke bonge so ujue kbs ntakuacha mapema sn ukinenepA
 
Back
Top Bottom