Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
yeah,,hakuna mtu mwembambaHivi inawezekana?
Hao wanaokushauri ule sana watakutoa kitambi.
Nasikiaga maziwa ya tanga fresh yana nenepesha ebu jaribu kunya japo nusu lt kwa siku na vyakula vya nafaka kama ugali kwa sana.
sawa mkuuyeah,,hakuna mtu mwembamba
Duuuh, kunya tena maziwa ya tanga fresh???
Wadau salam,
Mimi ni mwembamba saaaana, kuna shughuli nataka kuifanya but mtu mnene anaitajika so nataka kupata dawa nijinenepeshe for special job.
Kama unazijua dawa hizo plz naomba msaaada wako.
Thanks in advance
Kwanza piga dose ya kuua minyoo kisha Usinywe dawa za kunenepesha bali fanya yafuatayo, anza kula kula ovyo! Usiku jaza lisahani la ubwabwa na maharage ule ukimaliza tu panda kitandani ulale. Chapati, vyakula vya wanga ndo ule kwa wingi na Kama umnywaji wa pombe bia iwe kinywaji chako, chips mayai nazo usizisahau. Acha kufanya mazoezi, punguza mawazo, ukipata muda wa kumpumzika fanya hivyo jitahidi urelaxxxxx
Baada ya mwezi njoo ulete matokeo.
Umeishiwa madini ya zinc kula ugali wa ngano tu wa kutosha kila siku na ule nafaka kwa wingi......
Wadau salam,
Mimi ni mwembamba saaaana, kuna shughuli nataka kuifanya but mtu mnene anaitajika so nataka kupata dawa nijinenepeshe for special job.
Kama unazijua dawa hizo plz naomba msaaada wako.
Thanks in advance
Am sure mkuu nilikua hivyo pia mkuu lkn now nipo fit
WaTz bhanaa... sasa si uuze dili kwa mwenye huo mwili? wee kata % yako rusha dili kwa mwngne kwani hujui riziki mafungu 7?
Au kazana Ofa za bia basi na nyama chomaa... full time wewe ni kula tu..