Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,020
- 79,098
Kwani ulisikia nimekufa? [emoji22]Mkuu.....
Kumbe upo[emoji15]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani ulisikia nimekufa? [emoji22]Mkuu.....
Kumbe upo[emoji15]
Sikuoni ukipitapita humu jamvini mkuuKwani ulisikia nimekufa? [emoji22]
Mbona nimesha weka nilicho kupata mkuu[emoji15]
Kumbe kazi yako ni kufuatilia nyendo zangu humu?Sikuoni ukipitapita humu jamvini mkuu
Mimwenyeji mkuu....Kumbe kazi yako ni kufuatilia nyendo zangu humu?
Kumbe? Hongera kiranja wa JF.Mimwenyeji mkuu....
Humu nawajua wote tunao pishana kila siku aiseeee.....
Isipokua kuna jukwaa la wanao jiita makapuku nini nini sijui....huko siendagi
Uko vizuri, kibiblia wameiweka hivi
Udongo(mwili) + pumzi(roho)=nafsi hai
Wewe ni muunganiko waHuwa najiuliza hili swali mara nyingi, mimi ni nini? Maana najikagu naona mguu wangu, naona mkono wangu, naona kichwa changu, naona kiwiliwili changu, hapo vyote naona ni vyangu, sasa mimi ni kipi?
Wanasayansi wanataka kuweka kichwa cha binadamu mwingine kwenye mwili mwingine, najiuliza nikitolewa kichwa kikawekwa kingine bado nitakuwa mimi?
Mshana Jr. Mzizi mkavu na wengine mniambie.
Nadhani amewaza kwa muktadha wa suraHivi mtu ni kichwa au mwili?
Maendeleo ya kisayansi yameweza kulitekeleza hilihuwezi kuhamisha kichwa cha mtu kwenda kwa mwingine.
Hukupaswa kujibu hiviLabda ww ni t.a.k.o mkuu!!
[emoji28] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji28] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji28] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji28] [emoji28]Wewe ni kilaza.
By JPM
[emoji28] [emoji1] [emoji28] [emoji1] [emoji28] [emoji1] [emoji28] [emoji1] [emoji1] mnamajibu yarabi!Labda ww ni t.a.k.o mkuu!!
proofs ziko wapi mkuu?Maendeleo ya kisayansi yameweza kulitekeleza hili
Ngoja nikazitafuteproofs ziko wapi mkuu?
proofs ziko wapi mkuu?
Kumbuka si kwa maana ya kukata kichwa choteNgoja nikazitafute
nazisubiriNgoja nikazitafute
Huwa najiuliza hili swali mara nyingi, mimi ni nini? Maana najikagu naona mguu wangu, naona mkono wangu, naona kichwa changu, naona kiwilwili changu, hapo vyote naona ni vyangu, sasa mimi ni kipi?
Wanasayansi wanataka kuweka kichwa cha binadamu mwingine kwenye mwili mwingine, najiuliza nikitolewa kichwa kikawekwa kingine bado nitakuwa mimi?
Mshana Jr. Mzizi mkavu na wengine mniambie.
[emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Labda ww ni t.a.k.o mkuu!!