Mimi ni Nani?

Kumbe kazi yako ni kufuatilia nyendo zangu humu?
Mimwenyeji mkuu....
Humu nawajua wote tunao pishana kila siku aiseeee.....
Isipokua kuna jukwaa la wanao jiita makapuku nini nini sijui....huko siendagi
 
Mimwenyeji mkuu....
Humu nawajua wote tunao pishana kila siku aiseeee.....
Isipokua kuna jukwaa la wanao jiita makapuku nini nini sijui....huko siendagi
Kumbe? Hongera kiranja wa JF.
Mie nipo mkuu.
 
Wewe ni muunganiko wa
1.mwili
2.roho
3.nafsi
Ambapo mwili + roho = nafsi(wewe)
Ambapo huyo 'wewe' unakuwa kitu cha 4 kinachokamilisha wewe...kwakuwa nje ya hapo hakuna wewe mwingine bali kuna
Mwili wako
Roho yako
Nafsi yako
 
Wewe ni kilaza.

By JPM
[emoji28] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji28] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji28] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji28] [emoji28]
 
wewe ni mimi,mimi ni wewe,sisi ni mungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…