Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Sawa ndo washiriki kombe la malooser!!?1. Hii timu ya Yanga haina cha friends of Simba wala nini, ni GSM tu
2.Hii timu ya Yanga kwa namna ilivyojipanga itachukua miaka 10 mfululizo ubingwa wa bongo
3. Hii timu ya Yanga kwa namna navyoiona ingawa siipendi kishenzi haitokuja kufungwa tena na Simba ya jana
4.Hii timu ya Yanga ambayo siipendi na naichukia sana sioni dalili ya kushushwa kileleni na Simba yetu kichefuchefu
5.Hii timu ya Yanga imeshafuzu kwenda robo na ina uwezo wa kucheza fainal bila hofu
Shida yetu sisi ukisifia mpinzani unaambiwa mjinga, fala na matusi kibao lkn pamoja na kuichukia san Yanga ukweli unabaki pale pale kuwa ni timu ya ushindani haswa.
Yan timu inatolewa club bingwa na kushushwa Kwa maloser ndio inaonekana inafanya vizur, afu aliyebakia club bingwa Kwa wanaume ndo anaonekana kafanya vibaya. Ugumu wa mashindano ni tofauti, ubora wa wapinzani ni tofauti. Yanga angebakia club bingwa akacheza hiv anavyocheza kidogo maneno yako yangeonekana na mashiko. Lakin Kwa sasa huwez kulinganisha Simba na Yanga mashindano ya kimaitaifa Kwan wapo level tofauti.Ukweli umuweka mtu huru, wao wache wakutukane lakini ndio ukweli, Yanga wanakula matunda ya uwekezaji wao, Walifanya usajili bora na wamejipanga nje ndani, kiufupi ni timu ambayo iko complete package, wanayo mapungufu machache ambayo wataendelea kuboresha na kuongeza quality ya wachezaji, pale yanga kwa sasa akuna janja janja za wazee wa 10% kununua wachezaji aina ya sawadogo ama baleke, pale kwa sasa hivi Eng,Hersi anaonana na mchezaji yeye mwenyewe na anamaliza biashara yeye mwenyewe akishajiridhisha na uwezo wa mchezaji husika, Kwa maana iyo wanaendelea walipoishia na sio kurudi nyuma
Yaani aliyefaulu mtihani wa form two akaenda zake form three akajifunze tena kwa aliyeshindwa huo mtihani akarudishwa tena nyuma darasa ? Tuache utani kwenye mambo ya msingi tafadhali.Hakina umenena kweli sisi Simba tuna lakujifunza kutoa yanga
Wewe ni YANGA1. Hii timu ya Yanga haina cha friends of Simba wala nini, ni GSM tu
2.Hii timu ya Yanga kwa namna ilivyojipanga itachukua miaka 10 mfululizo ubingwa wa bongo
3. Hii timu ya Yanga kwa namna navyoiona ingawa siipendi kishenzi haitokuja kufungwa tena na Simba ya jana
4.Hii timu ya Yanga ambayo siipendi na naichukia sana sioni dalili ya kushushwa kileleni na Simba yetu kichefuchefu
5.Hii timu ya Yanga imeshafuzu kwenda robo na ina uwezo wa kucheza fainal bila hofu
Shida yetu sisi ukisifia mpinzani unaambiwa mjinga, fala na matusi kibao lkn pamoja na kuichukia san Yanga ukweli unabaki pale pale kuwa ni timu ya ushindani haswa.
Simba imecheza Klabu Bingwa Group stage mara ngapi katika miaka mitano iliyopita?Yan timu inatolewa club bingwa na kushushwa Kwa maloser ndio inaonekana inafanya vizur, afu aliyebakia club bingwa Kwa wanaume ndo anaonekana kafanya vibaya. Ugumu wa mashindano ni tofauti, ubora wa wapinzani ni tofauti. Yanga angebakia club bingwa akacheza hiv anavyocheza kidogo maneno yako yangeonekana na mashiko. Lakin Kwa sasa huwez kulinganisha Simba na Yanga mashindano ya kimaitaifa Kwan wapo level tofauti.
1. Hii timu ya Yanga haina cha friends of Simba wala nini, ni GSM tu