Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
1. Hii timu ya Yanga haina cha friends of Simba wala nini, ni GSM tu
2.Hii timu ya Yanga kwa namna ilivyojipanga itachukua miaka 10 mfululizo ubingwa wa bongo
3. Hii timu ya Yanga kwa namna navyoiona ingawa siipendi kishenzi haitokuja kufungwa tena na Simba ya jana
4.Hii timu ya Yanga ambayo siipendi na naichukia sana sioni dalili ya kushushwa kileleni na Simba yetu kichefuchefu
5.Hii timu ya Yanga imeshafuzu kwenda robo na ina uwezo wa kucheza fainal bila hofu
Shida yetu sisi ukisifia mpinzani unaambiwa mjinga, fala na matusi kibao lkn pamoja na kuichukia san Yanga ukweli unabaki pale pale kuwa ni timu ya ushindani haswa.