Mimi ni Simba lakini siwezi kuwa mnafiki na shabiki maandazi kwa kuiponda Yanga hii

Wewe ni mwehu tena mwehu asiyejielewa, Mwaka jana umecheza mashindano gani? Ulitolewa klabu bingwa ukashushwa kwenye ilo kombe unaloita la malooser kilichofata uliishia wapi? Mbona ilo ilo kombe la malooser ilibidi umuite shetani lucifer akusaidie baada ya kuchoma uwanja wa orando pirates moto kwa imani za kishirikina na bado ukachapwa vile vile, kama ni kombe jepesi kwako tulitegemea ufike fainali mbona ulikwama ukatupwa nje ya michuano? Ficha ujinga wako kulinda heshima yako
 
Yaani aliyefaulu mtihani wa form two akaenda zake form three akajifunze tena kwa aliyeshindwa huo mtihani akarudishwa tena nyuma darasa ? Tuache utani kwenye mambo ya msingi tafadhali.
Akuna aliyefaulu mtihani hapo, ujafaulu chochote maana akuna kombe lililetwa hapa nchini
 
Kama wapo vizur kuliko sis sawa nao so mda wao bn
 
Hongera sana kwa kusema ukweli
 
Madina kinyama umesahau kumwambia ht sis tumeshnda game mbil na aliemfunga ck zao
 
Wewe ni UTOPOLO.
Yanga sc bado ilianzia club bingwa ila sahizi iko shirikisho huo ubora unautoa wapi?
 
Waambie hizo kolo nyenzio.. Hii ndio Yanga Wanaume wa mbegu.. leta nyokonyoko tukujaze Tumbo
 
Wewe ni UTOPOLO.
Yanga sc bado ilianzia club bingwa ila sahizi iko shirikisho huo ubora unautoa wapi?
Sisi hili kombe la shirikisho tunachukua halafu tuje tujadiliane nani mwanaume,we si unajisifu kushiriki!!!wanaume tunachukua hii ndoo.
 
Poa ila wale Vipers huwezi Lingamisha na Real Bamako hata kidogo, Vipers ni wabovu sana.
 
Be smart bro just ushauri tu. Judge the present, judge what you see sio what happened, sio past! Do not run from the truth utakuwa mjinga daima!

England ndio alienzisha viwanda wakaitwa workshop of the world, wakatawala nchi nyingi, Leo hii baba wa technology ni USA na wakizubaa China wanashika usukani!

Simba ni mbovu hata kuzifunga timu za ligi kuu bila msaada wa marefa hawawezi. Sorry bro kwasasa huwezi kuipa Simba credit mbele ya Utopolo wako vizuri. Historia haichezi uwanjani angalia Al Ahly wako nafasi ya ngapi kwenye kundi lao, wako nafasi ya tatu Kolokoloni gani angefikiri hivyo wao kazi kusifia tu tuko club bingwa!

Yanga inapanda juu kwa taratibu sana ni ngumu kuona. Wala haihitaji miaka kumi unayotaka. Mwaka Jana Yanga ilifungwa ndani nje michuano ya CAF mwaka huu iko makundi, mwaka Kesho kombe la CAF club bingwa au confederation litatua Jangwani amini ninachokwambia Mimi utopolo Lia Lia Huwa sisemi uongo nacheki numbers tu!

Jana Aziz Ki alipwaya haraka wakamuweka Aucho timu ikabalance Simba hakuna kocha wa kuona mapungufu haraka na kurekebisha kama Prof Nabi.

Simba inashuka bro be smart! amka! Huko klabu bingwa mnakojisifia kuwepo Huku mnachechemea ndiko Yanga inakwenda! Misimu miwili mitatu tu Yanga itakuwa imezoea hiyo ligi. Kama wachezaji wa Al Hilal wasingejiangusha dkk 60 mechi ya marudiano na Yanga Leo hii Yanga ingekuwa ikicheza club bingwa.

Ngoja nikupe Siri moja, Yanga kwasasa haifungiki kwa goli la move hata ije Barcelona hawapiti ukuta WA Job , Nondo na Diarra. Yanga wanafungwa kwa Faulo au Kona tu basi na iwapo tu kama mabeki watajisahau kuruka na mtu. Yanga ni timu ngumu sana kwasasa kuifunga kutoka Katikati Kwa move au penetration pass.

Jenga Tabia ya kukubali Ukweli itakusaidia sana. Jenga Tabia ya kukubali pale unapozidiwa ujanja itakuamsha na utajipanga upya.
Usisahau Kufundisha na wanao!
 
Sisi hili kombe la shirikisho tunachukua halafu tuje tujadiliane nani mwanaume,we si unajisifu kushiriki!!!wanaume tunachukua hii ndoo.
Malengo in suala moja, ila mikakati ya kufikia malengo ni suala jingine tena lenye kila aina ya changamoto, michuano ya kombe la shirikisho, inatimu kama Future na Pyramide za Egypt pia kuna Far rabat, hizi baadhi tu timu ambazo ziko shirikisho.
 
haya wewe Una akili Sana, heb kaangalie hoja ya mtoa mada, ameongelea kiwango cha Simba na Yanga Kwa sasa sio mwaka Jana. Na Mimi hata sijaongelea mambo ya mwaka Jana sijui mwenzangu Una akili nyingi umeyatoa wap. Simba ya mwaka Jana ilikua mbovu kweli, iliharibu club bingwa ikaenda Kwa losers
 
@Moderator
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…