Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa ana hoja, asikilizwe.Utopolo bhanah, unajikuna alafu unanusa
Wewe ni mwehu tena mwehu asiyejielewa, Mwaka jana umecheza mashindano gani? Ulitolewa klabu bingwa ukashushwa kwenye ilo kombe unaloita la malooser kilichofata uliishia wapi? Mbona ilo ilo kombe la malooser ilibidi umuite shetani lucifer akusaidie baada ya kuchoma uwanja wa orando pirates moto kwa imani za kishirikina na bado ukachapwa vile vile, kama ni kombe jepesi kwako tulitegemea ufike fainali mbona ulikwama ukatupwa nje ya michuano? Ficha ujinga wako kulinda heshima yakoYan timu inatolewa club bingwa na kushushwa Kwa maloser ndio inaonekana inafanya vizur, afu aliyebakia club bingwa Kwa wanaume ndo anaonekana kafanya vibaya. Ugumu wa mashindano ni tofauti, ubora wa wapinzani ni tofauti. Yanga angebakia club bingwa akacheza hiv anavyocheza kidogo maneno yako yangeonekana na mashiko. Lakin Kwa sasa huwez kulinganisha Simba na Yanga mashindano ya kimaitaifa Kwan wapo level tofauti.
Akuna aliyefaulu mtihani hapo, ujafaulu chochote maana akuna kombe lililetwa hapa nchiniYaani aliyefaulu mtihani wa form two akaenda zake form three akajifunze tena kwa aliyeshindwa huo mtihani akarudishwa tena nyuma darasa ? Tuache utani kwenye mambo ya msingi tafadhali.
Hongera sana kwa kusema ukweli1. Hii timu ya Yanga haina cha friends of Simba wala nini, ni GSM tu
2.Hii timu ya Yanga kwa namna ilivyojipanga itachukua miaka 10 mfululizo ubingwa wa bongo
3. Hii timu ya Yanga kwa namna navyoiona ingawa siipendi kishenzi haitokuja kufungwa tena na Simba ya jana
4.Hii timu ya Yanga ambayo siipendi na naichukia sana sioni dalili ya kushushwa kileleni na Simba yetu kichefuchefu
5.Hii timu ya Yanga imeshafuzu kwenda robo na ina uwezo wa kucheza fainal bila hofu
Shida yetu sisi ukisifia mpinzani unaambiwa mjinga, fala na matusi kibao lkn pamoja na kuichukia san Yanga ukweli unabaki pale pale kuwa ni timu ya ushindani haswa.
Madina kinyama umesahau kumwambia ht sis tumeshnda game mbil na aliemfunga ck zaoAcheni kujadili upumbavu na ujuha. Wachezaji ni binadamu na hutumia damu mwilini hivyo kuna kùchoka. Amini nakwambia Mchezaji akimudu kuwa kwenye peak ya nguvu ile ile uwezo ule ule ni misimu minne tu.
Hata hao unaowabeza Simba wamechoka na walichofanya na hatua waliyofikia hao SUKARI FC itawachukua miaka 10 kufanya SIMBA alichofanya. Usibeze mafanikio ya aliyekuzidi Kimataifa kisa tu umeshinda TuMechi tuwili nyumbani na wakati unayembeza yuko Kombe la juu zaidi kwenye Ubora wa juu zaidi. KICHWA CHAKO UBONGO UMELIWA NA FUNGUS WA UTI kapimwe Mirembe
Simba mna mafanikio gani ?Mashabiki wa Yanga mngekuwa na mafanikio ya Simba mngetembea uchi kabisa
Sisi hili kombe la shirikisho tunachukua halafu tuje tujadiliane nani mwanaume,we si unajisifu kushiriki!!!wanaume tunachukua hii ndoo.Wewe ni UTOPOLO.
Yanga sc bado ilianzia club bingwa ila sahizi iko shirikisho huo ubora unautoa wapi?
Kurudi kinyumenyume KM 70Simba mna mafanikio gani ?
Mafanikio ya kurudi kinyumenyume???ngoja tutafute dereva na sisi tupate mafanikio.Mashabiki wa Yanga mngekuwa na mafanikio ya Simba mngetembea uchi kabisa
Poa ila wale Vipers huwezi Lingamisha na Real Bamako hata kidogo, Vipers ni wabovu sana.Yan timu inatolewa club bingwa na kushushwa Kwa maloser ndio inaonekana inafanya vizur, afu aliyebakia club bingwa Kwa wanaume ndo anaonekana kafanya vibaya. Ugumu wa mashindano ni tofauti, ubora wa wapinzani ni tofauti. Yanga angebakia club bingwa akacheza hiv anavyocheza kidogo maneno yako yangeonekana na mashiko. Lakin Kwa sasa huwez kulinganisha Simba na Yanga mashindano ya kimaitaifa Kwan wapo level tofauti.
Be smart bro just ushauri tu. Judge the present, judge what you see sio what happened, sio past! Do not run from the truth utakuwa mjinga daima!Acheni kujadili upumbavu na ujuha. Wachezaji ni binadamu na hutumia damu mwilini hivyo kuna kùchoka. Amini nakwambia Mchezaji akimudu kuwa kwenye peak ya nguvu ile ile uwezo ule ule ni misimu minne tu.
Hata hao unaowabeza Simba wamechoka na walichofanya na hatua waliyofikia hao SUKARI FC itawachukua miaka 10 kufanya SIMBA alichofanya. Usibeze mafanikio ya aliyekuzidi Kimataifa kisa tu umeshinda TuMechi tuwili nyumbani na wakati unayembeza yuko Kombe la juu zaidi kwenye Ubora wa juu zaidi. KICHWA CHAKO UBONGO UMELIWA NA FUNGUS WA UTI kapimwe Mirembe
Malengo in suala moja, ila mikakati ya kufikia malengo ni suala jingine tena lenye kila aina ya changamoto, michuano ya kombe la shirikisho, inatimu kama Future na Pyramide za Egypt pia kuna Far rabat, hizi baadhi tu timu ambazo ziko shirikisho.Sisi hili kombe la shirikisho tunachukua halafu tuje tujadiliane nani mwanaume,we si unajisifu kushiriki!!!wanaume tunachukua hii ndoo.
mara 3Simba imecheza Klabu Bingwa Group stage mara ngapi katika miaka mitano iliyopita?
haya wewe Una akili Sana, heb kaangalie hoja ya mtoa mada, ameongelea kiwango cha Simba na Yanga Kwa sasa sio mwaka Jana. Na Mimi hata sijaongelea mambo ya mwaka Jana sijui mwenzangu Una akili nyingi umeyatoa wap. Simba ya mwaka Jana ilikua mbovu kweli, iliharibu club bingwa ikaenda Kwa losersWewe ni mwehu tena mwehu asiyejielewa, Mwaka jana umecheza mashindano gani? Ulitolewa klabu bingwa ukashushwa kwenye ilo kombe unaloita la malooser kilichofata uliishia wapi? Mbona ilo ilo kombe la malooser ilibidi umuite shetani lucifer akusaidie baada ya kuchoma uwanja wa orando pirates moto kwa imani za kishirikina na bado ukachapwa vile vile, kama ni kombe jepesi kwako tulitegemea ufike fainali mbona ulikwama ukatupwa nje ya michuano? Ficha ujinga wako kulinda heshima yako
Kwa hiyo ulitegemea kabisa kwamba Yanga itakuwa na Friends of Simba?1. Hii timu ya Yanga haina cha friends of Simba wala nini, ni GSM tu
@ModeratorWewe ni mwehu tena mwehu asiyejielewa, Mwaka jana umecheza mashindano gani? Ulitolewa klabu bingwa ukashushwa kwenye ilo kombe unaloita la malooser kilichofata uliishia wapi? Mbona ilo ilo kombe la malooser ilibidi umuite shetani lucifer akusaidie baada ya kuchoma uwanja wa orando pirates moto kwa imani za kishirikina na bado ukachapwa vile vile, kama ni kombe jepesi kwako tulitegemea ufike fainali mbona ulikwama ukatupwa nje ya michuano? Ficha ujinga wako kulinda heshima yako