Mimi ni Simba lakini siwezi kuwa mnafiki na shabiki maandazi kwa kuiponda Yanga hii

Mtakatifu ChamaπŸ‘‡πŸ˜πŸ˜πŸ˜
Your browser is not able to display this video.
 
Imagine eti yanga naye sikuhizi anashinda mechi za kimataifa, ashukuriwe simba, role model wa timu zote east Africa
 
Hadharani wanaiponda Uto lakini kimoyomoyo wanaikubali na
wanatamani Pasaka isifike.
Ila mimi niwape mbinu mbili hizi wachague MOYA.
1. Wajitahidi wawezavyo walisimamishe jua ili lisitengeneze usiku na mchana unaotengeneza siku, siku zinazo tengeneza wiki hatimae mwezi ili Pasaka isifike.
Kama hili ni gumu na kwa uhakika ni gumu basi wachague hili la pili.
2. Baada ya mechi yao ya mwisho na RAJA (wazee wa kuchapa vinavyokuja kinyume nyume) waweke nguvu nyingi sana za propaganda na kujimbwambafai kuwa wataifunga Uto. Baada kutangazwa refarii atakae chezesha mtanange wamkatae kwa kisingizio cha kwamba ni refa mwemwe mahaba na Uto na wao hawatakuwa tayari kucheza mpaka abadilishwe.
Siku ya mechi waingize timu uwanjani (ikibidi hata kinyume nyume kuwapumbaza/ kuwapiga kanyaboya bodi ya ligi wasishtukie mchezo)
lakini wagome kucheza kukwepa kipigo cha mbwa koko.
Kuingiza timu uwanjani kutaipiku Ile kanuni ya kushushwa daraja kwa kutopeleka timu.

BORA AIBU KULIKO FEDHEHA.
Wana THeMBe msije kusema hamkuambiwa.
 
Ata uko kwa looser mbona ilishindwa kutoboa? Unataka kuniambia simba hii ni bora kuliko simba ya mwaka jana au hoja yako ni ipi? Kama umeshindwa kutoboa kwa malooser ndio utatoboa klabu bingwa?
 
Ata uko kwa looser mbona ilishindwa kutoboa? Unataka kuniambia simba hii ni bora kuliko simba ya mwaka jana au hoja yako ni ipi? Kama umeshindwa kutoboa kwa malooser ndio utatoboa klabu bingwa?
Ni kweli Simba hii ni Bora kuliko ya mwaka Jana, mfano mwaka huu kuna Ongezeko la Chama na Ntabazokiza Ila Simba ya mwaka Jana haikua na watu wa kutengeneza nafasi. Swala la kutoboa klab bingwa ni Jambo la muda siwez ongelea Ila Simba ya mwaka huu inayoshiriki club bingwa ni bora kuliko ya mwaka jana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…