Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Mtakatifu Chama👇😁😁😁
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hadharani wanaiponda Uto lakini kimoyomoyo wanaikubali naSiku hizi si shabiki na mfuasi mkubwa wa mpira ila naona kizazi chenu kama kimekuwa kizazi Cha wasiojitambua na mashabiki maandazi. Hii ipo wazi kabisa japo vijana wa Simba watanisha na kukutukana ila ni ukweli sasa Simba imeanguka na hawana uwezo wowotw uwanjani wanalazimisha ushabiki na kujitoa ufahamu. Uwezo wa Yanga sasa ni Mkubwa sawa na Simba ya miaka 4 iliyopita ila jamaa wanakaza fuvu na kujitoa akili huku wakibisha bila logic yoyote Ile.
Ata uko kwa looser mbona ilishindwa kutoboa? Unataka kuniambia simba hii ni bora kuliko simba ya mwaka jana au hoja yako ni ipi? Kama umeshindwa kutoboa kwa malooser ndio utatoboa klabu bingwa?haya wewe Una akili Sana, heb kaangalie hoja ya mtoa mada, ameongelea kiwango cha Simba na Yanga Kwa sasa sio mwaka Jana. Na Mimi hata sijaongelea mambo ya mwaka Jana sijui mwenzangu Una akili nyingi umeyatoa wap. Simba ya mwaka Jana ilikua mbovu kweli, iliharibu club bingwa ikaenda Kwa losers
Ni kweli Simba hii ni Bora kuliko ya mwaka Jana, mfano mwaka huu kuna Ongezeko la Chama na Ntabazokiza Ila Simba ya mwaka Jana haikua na watu wa kutengeneza nafasi. Swala la kutoboa klab bingwa ni Jambo la muda siwez ongelea Ila Simba ya mwaka huu inayoshiriki club bingwa ni bora kuliko ya mwaka janaAta uko kwa looser mbona ilishindwa kutoboa? Unataka kuniambia simba hii ni bora kuliko simba ya mwaka jana au hoja yako ni ipi? Kama umeshindwa kutoboa kwa malooser ndio utatoboa klabu bingwa?