Mimi ni TEAM Hamas,Russia,Iran,Hizbullah,Houth Kama ndiyo na wewe njoo hapa tujuane

This thing is serious, it's a world war in the making..
Wana jamii kama kichwa cha habari kınavyosema hapa ni team hiyo hapo juu,kama una habari nzuri kuwahusu tafadhali tuletee hapa pia Tijuane!

Hakuna cha timu, huu sio mpira
 
Una viashiria vya kigaidi utafyatuliwa muda so mrefu...

It's just matter of time
Na wale wenye wanaoshabikia Israeli wanavinasaba vya upinde🌈 wataolewa muda sio mrefu....

It's just matter of time.
 
Democracy ni Bahari pana sana. Ulicho kiandika hapa kwa kutania au kumaanisha, ungekuwa uko nchi za ulaya mfano UK usinge lalia kitanda chako leo hii. Kuna sheria dhidi ya watu wanao ' Glorify Terrorism' kama wewe kwa kitu ulicho fanya hapa kifungo kilefu gerezani. Hii ni pamoja kuweka picha (Stickler) ya mtu ambaye wao wamemueka kwenye orodha ya 'Terrorists' kwenye gari lako mtu kama Osama bin Laden, Gaddafi nk nk. Wakati hapa Africa tuko huru kufanya hivyo na wala si kosa.
 
Daaah!
 
Dalili za Mtu kuwa Gaidi ni hasira za mara kwa mara dhidi wale ambao hawaamini mafundisho ya Dini yake.
 
Na wale wenye wanaoshabikia Israeli wanavinasaba vya upinde🌈 wataolewa muda sio mrefu....

It's just matter of time.
Sio kila mkristo anashabikia ushoga magufuli alikua mkatoliki Ila alikua haungi mkono ushoga..

Mimi pia napinga ushoga na mashoga Ila siungi mkono waarabu na waislamu magaidi
 
Sio kila mkristo anashabikia ushoga magufuli alikua mkatoliki Ila alikua haungi mkono ushoga..

Mimi pia napinga ushoga na mashoga Ila siungi mkono waarabu na waislamu magaidi
Ukristo umeingiaje hapa, Israeli hataumbui ukristo.
 
Hivi mtu akileta Picha ya Mzazi wako akasema ametembea na wanaume au wanawake zaidi ya Elfu moja si utamkata alete ushahidi japo wa majina... Kila kisa au vita inasababu zake naomba pia uweke hizo sababu za vita... Usiwe kama waarabu wachokozi wanaua wanaleta fujo wakipigwa wanajifanya wanaonewa na wanafunika sababu za kichapo kwao... yaani wanajifanya victims pumbavu...
 
Kuchagua upande ni dalili ya awali kushindwa, adui ni mmoja, na ana Control pande zote. Haijalishi upo upande wa USA au Russia, Israel au Iran.
 
Ukiwa mvaa kobaz huna haja ya kutaja timu yako, nyote mumeshikiliwa akili mnafahamiko mlikoegemea.
 
Wana jamii kama kichwa cha habari kınavyosema hapa ni team hiyo hapo juu,kama una habari nzuri kuwahusu tafadhali tuletee hapa pia Tijuane!
urusi ameshindwa vita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…