Mimi ni W. nimempata P. je kinyota tunaendana?

Mimi ni W. nimempata P. je kinyota tunaendana?

WJN

Member
Joined
Nov 6, 2010
Posts
54
Reaction score
0
Naomba ushauri wenu watabibu wa masuala ya nyota.
 
Kuna baba anaitwa Mzizimkavu huyo anaweza kukusaidia zaidi
 
Huyu atakuletea mafanikio makubwa sana katika maisha yako ya kila siku. Kazini utapandishwa cheo na kupewa madaraka makubwa sana na ndoa yenu itashamiri sana na mtaishi kwa furaha kubwa sana na kujaliwa watoto wa kike na wa kiume, na zile biashara zako pia zitazidi kuongezeka na kukuingizia faida kubwa sana. Muoe huyo P haraka sana maana nyota yako na yake zinawaletea wote wawili baraka kubwa sana LOL! I am just joking my dear..... nadhani ingekuwa vizuri kwenda kumuona yule mnajimu maarufu wa Afrika ya Mashariki kwa jina Sheikh Yahya Hussein ili akusaidie.

No One - Alicia Keys | Music Video | VEVO
 
Hahahha bado kidogo nije nikuone kwa utabiri wangu :sick::sick::sick:
 
Naomba ushauri wenu watabibu wa masuala ya nyota.

mjina yanasaidia katika kujua hizo nyota lakini hayaweki perfect kwa sababu mara nyingi mtu anakuwa na jina zaidi ya moja
Weka hapa tarehe na miezi yenu mliozaliwa ili ijulikane kama mna nyota gani, na tutaanzia kutokea hapo
 
Hahahha bado kidogo nije nikuone kwa utabiri wangu :sick::sick::sick:

Hahahahahahahaha We njoo tu lakini ujitayarishe unaweza usiondoke tena hahahahahahahahah

Kawaone watabiri wa nyota kama Shehe Yahya!
 
mmh ivi kuna bnadamu bado wanaamin u upupu?
 
mwe huku kuna waganga wa kienyeji kumbe nimeota mafanikio ni makubwa kati ya hizo herufi mbili,...usijaribu asilani kumuacha huyo utapata mikosi maisha:coffee:
 
Mambo ya herufi sijui kama yanamatter. Watu wengine hubadili majina yao, je hapo inakuwaje?
 
Wengine wakiwa hapa wanawachana waganga, lakini in real life wanawatembelea kama kawa, na ofisini kwao wametundika condensers~!
 
naomba ushauri wenu watabibu wa masuala ya nyota.
fanya mambo yako-achana na mambo ya nyota,yatakuja kupeleka pabaya,kuna ndoa zimetulia kwa muda mrefu sasa na hawajawai ku-consider umuhimu wa njota
 
Kawaone watabiri wa nyota kama Shehe Yahya!

na huyu jamaa nasikia yumo humu ndani,..subiri kidogo atakuja,kwan kwa sasa yupo ikulu ana maongezi na mkuu wa nchi kuhusu mambo ya jana kule mjengoni dodoma.
 
Duh hivi haya mambo ya nyota yana ukweli jaman
 
nyota zinaonyesha kuwa p anakupenda sana na mtaoana,,, na baada ya kupata mtoto wenu wa pili ,,,p atarudiana na mpenzi wake wa zamani, ambapo mtafarakana na utamsamehe na mtaishi kwa raha mstarehe...
 
Back
Top Bottom