Mimi ni Web developer na Mobile dev nina wazo njoo tu discuss

Acha siasa leta code hapa, IT haeaongei kea maneno kazi zao ndio zinaongea. Mdogo wangu wa wisho anakampuni ya IT toka siku ya kwanza ananza chuo alikua yatari ana account github wewe 5ys huna hata link ya kukutambulisha alfu unajiita IT
namba hizo hapo kama unataka kuona kazi zangu na project zangu nichekii namba nimeshaweka hapoo
 
Kasome kijerumani pale Goethe mnahitajika sana huku.
 
Am an entrepreneur specialist I Will check with you on that number, pia na mimi na ubunifu wangu kwanini biashara zinakufa na nini kifanyike
 

Mimi tarehe 01/May
 
Mkuu labda nikusaidie , Watanzania ni watu wajuaji sana na wenye kuchukulia poa sana watu wa tech(ITs) ,

wenyewe wana neno la FROM THE SCRATCH utaskia hii umepiga "from the scratch" au "nataka uipige from the scratch", watakuchosha man , tena watakuchosha mnooo ,

Kama una skills hizo unda App usefull ambayo marketing yake sio kubwa yenye ambayo una imudu hata alone , tenga mwezi ifanye iishe then komaa nayo sokoni miezi sita kwa kuanzia mode of production iwe thirdparty Ads kama Admob na Fb Adwords au Adsense kama itakua site(hii itakuchelewesha ila kama una muda wa kutosha ruka nayo)

Ukishaanza kupata maokoto na kua na uwezo wa wa kumudu kulipa mtu awe ana deal na specific angle eg marketing ndio unaweza ukaanza kuweka sasa plan za ku tengeneza App zenye mode of production nje ya Ads ,

Mtu anakuja anakwambia lete kazi zako tuone uwezo wako , wakati umetoa nafasi ya wazo na utafanya bure , anataka aone uwezo wako for what purpose ?,

Kesho kesho kutwa ana posti Tz hamna IT ,

Tansia na IT Tanzania inakwamishwa na ujuaji wasio IT sababu ukisha kua IT(programmer) ni kama ume quit external life so huwezi ku play any part other than code

Kufeli kwa startup za tech au kuto kuwepo sababu mi watu wasio IT , ambao kimsingi walitakiwa wazi sapoti ila wako bize ku critisize ..


Mwisho kabisa achana na wabongo, hata client wa Tz achana nao ,kapige free lancing Upwork, pata App zako ambazo ni iseful Wordwide piga pesa za google , kuza protforlio ,Upwork , tengeneza systerm ,App au site uza sourcecode Invato

Yani kwa kifupi achana na watanzania ni wajuaji sana na hawawezi kukusaidia ,

Hapa wata piga blaa blaa ila hupata hata mmoja serious na ni Bure
 
asante saana kaka nimekupata vyema saana.. yaaani mtu analeta ujuaji wnaboa sana.
ngoja nilifanyie kazi wazo lako kaka asante.
 
Mkuu UMEMALIZA KILA KITU KABISAA
 
Nice idea. It has to do with what they interact with from day to day, ambayo hawawezi kukwepa.
 
Your spirit is great sir.
Ila tatizo nalojifunza ni kwamba programers wengi bongo Wana base na web development.Nagundua ni kama wengi wanakwepa data science ,machine learning na AI ,Maneno ambayo ndiyo back bone ya system development.
Web development ni Muhimu but especially for front end .
Wewe ni Mtu Muhimu sana ila inahitaji kufanya kazi na team ili utoe Mchango katika eneo lako but you alone kama hauja base na back end languages especially low level and general purpose languages kama python,java na c type languages bado Kuna shughuli.
Your heart is great thou!
 
Ushauri mzuri sana. Ulimwengu baada ya AI inatuelekeza kwenye skill stacking onayopiku specialization
 
Hakuna binadamu mwenye hobby 1 tu

Ungekuwa na hobby nyingine ungeutumia ujuzi wako wa web design kusupplement hobby yako ya pili

Nitajie tarehe na mwezi uliozaliwa nikuambie kazi nyingine ukifanya utatoboa tofauti na website development
07/07
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…