Mkuu labda nikusaidie , Watanzania ni watu wajuaji sana na wenye kuchukulia poa sana watu wa tech(ITs) ,
wenyewe wana neno la FROM THE SCRATCH utaskia hii umepiga "from the scratch" au "nataka uipige from the scratch", watakuchosha man , tena watakuchosha mnooo ,
Kama una skills hizo unda App usefull ambayo marketing yake sio kubwa yenye ambayo una imudu hata alone , tenga mwezi ifanye iishe then komaa nayo sokoni miezi sita kwa kuanzia mode of production iwe thirdparty Ads kama Admob na Fb Adwords au Adsense kama itakua site(hii itakuchelewesha ila kama una muda wa kutosha ruka nayo)
Ukishaanza kupata maokoto na kua na uwezo wa wa kumudu kulipa mtu awe ana deal na specific angle eg marketing ndio unaweza ukaanza kuweka sasa plan za ku tengeneza App zenye mode of production nje ya Ads ,
Mtu anakuja anakwambia lete kazi zako tuone uwezo wako , wakati umetoa nafasi ya wazo na utafanya bure , anataka aone uwezo wako for what purpose ?,
Kesho kesho kutwa ana posti Tz hamna IT ,
Tansia na IT Tanzania inakwamishwa na ujuaji wasio IT sababu ukisha kua IT(programmer) ni kama ume quit external life so huwezi ku play any part other than code
Kufeli kwa startup za tech au kuto kuwepo sababu mi watu wasio IT , ambao kimsingi walitakiwa wazi sapoti ila wako bize ku critisize ..
Mwisho kabisa achana na wabongo, hata client wa Tz achana nao ,kapige free lancing Upwork, pata App zako ambazo ni iseful Wordwide piga pesa za google , kuza protforlio ,Upwork , tengeneza systerm ,App au site uza sourcecode Invato
Yani kwa kifupi achana na watanzania ni wajuaji sana na hawawezi kukusaidia ,
Hapa wata piga blaa blaa ila hupata hata mmoja serious na ni Bure