Mimi ni Yanga ila nimefurahia hii draw ya Makolo na Azam

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Kwaza niombe samahani Kwa kutowaletea uchambuzi humu jf ....mwaka huu jobless sina so nina kosa muda

Back to the topic
Kama Azam angeshinda.....basi angeongeza pressure Kwa Yanga since gap la point lingepungua....hii ni mbaya Kwa Yanga na Taifa

Kama Simba angeshinda.....basi kelele + Gap la point lingekuwa hatari Kwa Yanga na Taifa

Therefore....draw hii imeleta equilibrium ( mlinganyo) Kwa mliokimbia shule[emoji23]

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Juzi ulikuwa Simba, jana ukawa Azam na leo hii umekuwa Yanga, hivi utaacha lini udangaji?
 
Unstable equilibrium hiyo uto.Huwezi kuelewa maana pale uto ambao zimo ni wa2
 
Tafuta ela wewe ujenge kesho ya kizazi chako unashangilia watu wako kwenye majukumu ya kujenga misingi ya vizazi vyao mzee yanga na simba hata wafungwe watalipwa tuu posho na mishahara haijalishi mzeee mi sijihangaishi usfungwe usifungwe kulaleki naangalia nimeigiza nni
 
Yanga anahitajika kumfunga Simba na Azam anachukua ubingwa. Nihesabu ambazo miaka yote zinampa ubingwa Yanga.
 
Tafuta ela wewe ujenge kesho ya kizazi chako unashangilia watu wako kwenye majukumu ya kujenga misingi ya vizazi vyao mzee yanga na simba hata wafungwe watalipwa tuu posho na mishahara haijalishi mzeee mi sijihangaishi usfungwe usifungwe kulaleki naangalia nimeigiza nni
Bila shaka ni ww ni mshabiki wa Simba [emoji1][emoji1]

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Kwaza niombe samahani Kwa kutowaletea uchambuzi humu jf ....mwaka huu jobless sina so nina kosa muda

Back to the topic
Kama Azam angeshinda.....basi angeongeza pressure Kwa Yanga since gap la point lingepungua....hii ni mbaya Kwa Yanga na Taifa

Kama Simba angeshinda.....basi kelele + Gap la point lingekuwa hatari Kwa Yanga na Taifa

Therefore....draw hii imeleta equilibrium ( mlinganyo) Kwa mliokimbia shule[emoji23]

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Ukiona mtu anapigia hesabu mechi za wenzake, ujue kwake ameshaona dalili si njema huko mbele 😁😁😁
 
Hii sare ni faida kwa Yanga. Maana timu zote mbili zimedondosha alama mbili muhimu. Na ukijumlisha na ile sare ya Yanga dhidi ya Kagera Sugar; utaona mzani sasa umekaa sawa.
 
Back
Top Bottom